Shoot & Reload

Days zinasonga days zinasonga days zinasonga bro
Nimebaki tu five double O na Mashore wamesnadi wamekam na madoh uh
Mi nataka tu kudance on the floor
Zilipuke nijipate niko worse than before uh
Na mugita on the beat siunajua kaa ni banger wanataka tunashoot and reload

Last week ilikuwanga tu fuzzy kipatana siunajua tuko kazi
Ako salty ako salty ako salty juu nilimtokanga manzi
Alitryingi kunibless na tits nakumbuka nikidhani ananitest last week
Ati baby lemme raise your kids siezi fall for hio shit mi si lame and weak

Raise hii bar nimefika far
Bado niko na maday ones
Real Gs na kina AD one
Mi hushootingi mashot na mfuko sina gun

Hio forsa umedunga mbona hio ticky inakaa nikaa zake zimerunda
Nyuma amefura na akona sura rangi ni thao joh si chura
Mi ni sharp shooter naeza uliza uh bora huyo nguna akona bunda
Naeza jam ajipate amefutwa naeza jam ajipate amefutwa

Tunachoma tu liver
Choche kumechacha naskia ni kumoto kaa fever
Umama ni drugs na bro ako rehab
Na maloud zinachuna kaa speaker
Nilihit that nikago crazy na pedi bado anangoja feedback
Alinijenga hio wap no fetty nilipin kwa ukuta kaa sticker

Days zinasonga days zinasonga days zinasonga bro
Nimebaki tu five double O na wamesnadi wamekam na madoh uh
Mi nataka tu kudance on the floor zilipuke nijipate niko worse than before uh
Na mugita on the beat siunajua kaa ni banger wanataka tunashoot and reload

Credits
Writer(s): Richmond Koome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link