Nare (feat. KKraze)

Dem ni nare
Alipiga shots kasita bado hazijashika
Siezi cap huu ni real deal pleaser mood ni Christmas yeye ndo giver
Nikona interest kama feature
Nikona weakness kama ni sza
Hizo strings ziuattach kaa guitar
Hey mama cita mbona unazima
Kaa ni bill siunajua I gatchu
Kaa ni rizz siunajua mi n bazu
Kaa ni gang imepull up saa tatu medi kejani masaa ni ya curfew
Huna adabu
Member falling for shawty ametoka huko lamu na
Alikuanga mwarabu
Nakumbuka kubonga ilikuanga na tabu man
Kaa ni bill siunajua I gatchu
Kaa ni rizz siunajua mi n bazu
Kaa ni gang imepull up saa tatu medi kejani masaa ni ya curfew
Huna adabu
Member falling for shawty ametoka huko lamu na
Alikuanga mwarabu
Nakumbuka kubonga ilikuanga na tabu man

Nakumbuka kubonga ilikuanga na tabu
Nafunga nafinya ikisonga ni klabu
Matha alinifunza hesabu
Naspit niwache alama Ka babu
Mood ni Christmas
Sina weak verse
Zikimshika io woga inadisperse
Mikono Yao iko juu na si stick up
Mzigo ako nayo manze na si pick up
Kujeni wasita niwarudishe sit-ups
Ex wako alitokwa Jo tenje na lappy lakini bado anakeep tabs
Izo vako nawacha kwa stenje nakuja na pressure manze inaleak taps
Eh, si kwako lakini ka tuko na Chemistry si tukaende kwa lab tutest
Mi sitoki na vest
Huna compe unanicompel
Namshow come play, hawezi complain
Ice kwa shingo, my chest got a pain
Hatuna maringo,you just gotta pay
Mi sicopy, I do it my way
Huezi keep up tunaroga kwa highway
Think out the box, sina Leso ya Maasai
Anapenda miti, Waangari Maathai

Dem ni nare
Alipiga shots kasita bado hazijashika
Siezi cap huu ni real deal pleaser mood ni Christmas yeye ndo giver
Nikona interest kama feature
Nikona weakness kama ni sza
Hizo strings ziuattach kaa guitar
Hey mama cita mbona unazima
Kaa ni bill siunajua I gatchu
Kaa ni rizz siunajua mi n bazu
Kaa ni gang imepull up saa tatu medi kejani masaa ni ya curfew
Huna adabu
Member falling for shawty ametoka huko lamu na
Alikuanga mwarabu
Nakumbuka kubonga ilikuanga na tabu man
Kaa ni bill siunajua I gatchu
Kaa ni rizz siunajua mi n bazu
Kaa ni gang imepull up saa tatu medi kejani masaa ni ya curfew
Huna adabu
Member falling for shawty ametoka huko lamu na
Alikuanga mwarabu
Nakumbuka kubonga ilikuanga na tabu man

Anajiita vegan
Na nyama amemeza ni mingi kukushinda na
Ni kunare ka stima
Si juzi nlimpata anatembea na ndeng'a kwa giza
Call it survival for the fittest hio pochi ni ndogo si paka ni kitten
Nilibreakingi system matrix haiezi contain what the I was given
Head shoulder knees and toes
Ako on her her knees niko in for a show
Tukianza joh initial goal
Never leave a bro man free my broz
Connection ndo sina mistari ni check
Naikijipa just do it again
Kumbuka nikisesa mkidi wa lec
Akinibamba I'll do it again
Nimekuwa on point one year
Na pressure inapsss na sisemi ya peer
Anashake hio ass no spear nainvest juu nacheki broke days are near
Sikujua hadi youngins hulook up to me
Ye si wangu kama bado ye ni fan to be
Amejaza picha zangu joh kwa gallery
Na ni U N I joh si versity



Credits
Writer(s): Richmond Koome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link