Pokémon
Peek a boo
Ye ni wako hio ni vako buda nimepick a boo
All the time nathink of you uko stuck with me na sitatoo
Ako za chu I'm into you niko za who you talking to
Nacarry hizi dawa unaeza dhani mi ni wa C wahu
Anangoja nimsuke na ni funny kitu sitado
Hawajui kuroga kwani narecycle wakilitter tu
Monkey see na monkey do mastude mi ni mwalimu
Poképoképokémon P napush ni pikachu
Na ye si ten ha ni kiatu imetembea sana
Tulikata kaa shoka niko na high na sina ladder
Kimani na kinoti wakitema hio ni money talk
Aliacha kuuza sera nkama soko imeoverstock
Nimfine hadi akiketi nilimchipo kama fries na
Hajui joh mi si mgeni niko used to such a life na
Doh ikuje steady nimelose too already
Kichwa iko empty maybe joh ni can ya jerry otherwise
Fika bei uache kuulizia vitu ati what's the price
Huskii sijai kuwa lucky tangu youngin niliroll the dice
Roll the dice roll the dice

Manze Jah kaa unaskiza hizi doba hope you see me thru
Hio visa niko eager to
Go overseas na people who I've seen I never knew nigenerate hii revenue
I pray nifike eighty two time yangu isikuwe overdue
Ako into mazodiac anadai tuko incompatible na
Kaa anadai kuwa zooted niko rooted kama radicle
Ati tuko together inasound tu ungrammatical
Kutrade hukuwanga practical until wasosi capital
Collab ikam na kakitu
Talanta iko kwa genes na mabrown ziko kwa khaki tu
Kaa hukati unaeza baki tu they talking shitty wapi loo
Unaeza nipiga fifa tuingie jamo hio ni swali tu

Credits
Writer(s): Richmond Koome
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.