Kiu (Interlude)

Wewe tu wewe tu
Nimekua mbioni
Panda shuka za maisha
Zinanihemesha
Kuna siku nina nguvu
Zingine niko chini
Nahisi kulemewa
Jua kwa mchana
Mwezi kwa usiku
Yesu kwangu mimi
Kama mbegu kwa udongo
Maziwa kwa mtoto
Yesu kwangu mimi

Kama ayala atamanivyo maji
Nakutaka wewe Yesu nakutaka we
Kama ayala ataminvyo maji
Nakutaka wewe Yesu nakutaka wewe

Nina kiu njaa
Nakutaka wewe Yesu nakutaka wewe
Nina kiu njaaa
Nakutaka wewe Yesu nakutaka we
Wewe tu wewe tu
Nakutaka we
Wewe tu wewe tu ooh
Nakutaka we
Wewe tu wewe tu
Nakutaka we
Wewe tu wewe tu
Nakutaka we

Thank you God
So many times nilidhani unanitaka nikiwa perfect
Kumbe unanitaka nikiwa pressing
Sababu Wewe tu ndio perfect
So Holy spirit help us tukue na kiu
Kila siku for the well that never runs dry
Yaani tuwe na kiu



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link