KUNA KITU (feat. PITSON)

Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu kuna kitu
Mi najua kuna kitu
Pitson I know there is something
Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu
Mi najua najua najua najua
Kuna kitu

Nakumbuka Uliofanyia Wanaisiraeli
Ulipokuwa Ukiwatoa Misiri
Farao nyuma yao bahari mbele yao
Ulifanya kitu Baba ulifanya kitu
Niwewe tu wingu la moto jangwani
Najua kuwa kuna kitu unachofanya tukiamini
Hannah aliomba alijua kuna kitu
Ukampa Samueli si ulifanya kitu

Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu
Tukiamua kumuangalia Yeye tu
Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu
Na Anafanya kitu utajua kuna kitu
Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu
Tukiamua kumuangalia Yeye tu
Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu
Na Anafanya kitu utajua kuna kitu

Say ohh na na na
Ooh na na na
Oh na na na aah
Oh na na na
Oh na na na
Oh na na na yeah

Kichakani Uipomuona Musa akiangalia
Ulinena
Leo pia mimi Baba nakuangalia
We nena
Moja neno moja na nitapona
Njoo Ufanye kitu najua kuna kitu
Nikikumbuka Ulivyomtumia Gidioni
Kutoa watu Wako
Mikononi mwa Midiani
Sio nguvu zake hakushinda kwa wingi wa majeshi
Ulifanya kitu Baba ulifanya kitu

Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu
Tukiamua kumwangalia Yeye tu
Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu
Na Anafanya kitu utajua kuna kitu
Kuna kitu Mungu Hufanya na binadamu
Tukiamua kumwangalia Yeye tu
Anajitokeza kutuonyesha kuwa Yeye ni Mungu
Na Anafanya kitu utajua kuna kitu

Say ohh na na na
Ooh na na na
Oh na na na aah
Oh na na na
Oh na na na
Eeh
Aah aah aah
Oh na na na
Ooh na na na yeah
Oh na na na
Oh na na na
Everybody say
Aah aah aah

Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu kuna kitu
Mi najua kuna kitu
Pitson I know there is something
Kuna kitu kuna kitu
Kuna kitu
Mi najua najua najua najua
Kuna kitu



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau, Pitson Ngetha
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link