Full

Oza Moninga na nga eeh
You are my friend
one who sticks closer than a brother
Nakuita papa eeh
Baba kwako mimi siwezi bother
Mwaminifu ni wewe tu
Haubadiliki kamwe badiliki kamwe eeh
Ahadi zako zote true
Hubadiliki kamwe badiliki kamwe eeh
Shida mi niko half and half
One leg in and one leg out
Ombi langu nijaze na roho
Niingie full niingie full
Shida mi niko half and half
One leg in and one leg out
Ombi langu nijaze na roho
Niingie full niingie full

Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu
Nataka nizame
Nizame nizame nizame
Nataka nizame
Nizame nizame nizame
Nataka

Swali ninalo nijibiwe
Samaki wengi baharini
Ako wapi asiyezama nikuelea tu kuelea tu
Nawe mkristo usidanganywe
Uwepo wake pumzi yetu njoo
Tuzame ndani ya neno lake
Tuzame kwa ibada Yake
Tuzame Kwa uwepo wake
Tuingie full tuingie full
Tuzame ndani ya neno lake
Tuzame kwa ibada Yake
Tuzame Kwa uwepo wake
Tuingie full tuingie full

Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu
Nataka nizame
Nizame nizame nizame
Nataka nizame
Nizame nizame nizame
Nataka

Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu Baba
Niingie full niingie full
Nisiokoke nusu
Nataka nizame



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link