Kastyle Different

Different different
Different different
Different different
Wuod Bange hii si ya kawaida man
Ni different different different chi

Pesa kawaida huwa kwa benki
Ama biashara uza nikupatie
Lakini Yesu ana style different
Ati enda vua samaki mdomoni utapata doo how
Different different different chi

Nauliza how
Different different different chi
Niambie how
Different different different chi
Niambie how
Different different different chi

Iyo
Nimekuja na kimbogi
Watu elfu tano ndio skwodi
Mkate tano fish ni mbili watakula nini
Mpe Yesu ana style different
Analeta na kastyle different
Anaponya na kastyle different
Anakuja na kastyle different
Different different different chi

Binadamu why you want to limit God?
Oh you can never limit God
We unaona one way
Kumbe yeye akona like ten ways
Wacha Mungu Aitwe Mungu
Njia zake si kama zetu
Anakuja na style Yake
Kwa wakati wake

Iyo
Nimekuja na kimbogi
Watu elfu tano ndio skwodi
Mkate tano fish ni mbili watakula nini

Na kastyle different
We unakuja na kastyle different
Unaprovide na kastyle different
Wewe ni Mungu na kastyle different
Different different different chi

Wacha Mungu Aitwe Mungu
Njia zake si kama zetu
Anakuja na style Yake
Kwa wakati wake

Different different
Different different
Different different different chi
Iyo
Different different
Different different
Different different different chi



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link