Nimeyakanyaga

Niambie mume wangu usifiche kuna kitu
Mda wa kuondoka asubuhi kurudi ni usiku (mi na lala)
Kuna vitu vimebadilika kwako, hadi nahisi unamwingine
Maana haikuwa tabiya yako, huenda umepata mwingine
Inashangaza hata we samaki wangu umekuwa nyoka
Nani ataniliwaza? Mapenzi hakuna naona manyota nyota

Kama unitaki nambie (haya)
Usinitese niambie (haya)
Ntaondoka niambie (haya)
Usinilize nambie (haya)

Kama unitaki nambie (haya)
Usinitese niambie (haya)
Ntaondoka niambie (haya)
Usinilize nambie (haya)

Nahisi mwezako tayari nishachokwa na wewe (nimeyakanyaga)
Ningejua ningebaki mwenyewe (mbona nimeyakanyaga)
Mzizi wa penzi umeanza kukatwa na wewe (nimeyakanyaga)
Ningejua ningebaki mwenyewe

Moyo dongo kavu n'shaumwagia maji umemonyoka
(Kwako) Mi sina mabavu umenisukuma nimedondoka
Eti pesa ya kula unanunua bando, mi nnawaza bado
Kwako ugomvi sun'a umekuwa komando, unanipa kipondo
Umegeuka shetani, umeniweza mie eh
Kutwa kurupishani bora nitulie eh

Kama unitaki nambie (haya)
Usinitese niambie (haya)
Ntaondoka niambie (haya)
Usinilize nambie (haya)

Kama unitaki nambie (haya)
Usinitese niambie (haya)
Ntaondoka niambie (haya)
Usinilize nambie (haya)

Nahisi mwezako tayari nishachokwa na wewe (nimeyakanyaga)
Ningejua ningebaki mwenyewe (mbona nimeyakanyaga)
Mzizi wa penzi umeanza kukatwa na wewe (nimeyakanyaga)
Ningejua ningebaki mwenyewe ohh oh
(Nimeyakanyaga!)
(Kumbe nimeyakanyaga)
(Nimeyakanyaga!)



Credits
Writer(s): Haitham Ghazal Seif, Haitham Kim
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link