Wawa

Wawawawaa
Wawawawaa
Wawawawaa
Wawawawaa
Gopa Beatz
Huwaga mapenzi yana utesa moyo
Wengi wanapagawa
Endapo ukiamini unajua mapenzi
Utalivuka daraja
Wengi wanasema
Eti yana dawa
Hivi nani aliye pendwa?
Ingawa na mimi
Ukaniona sawa
Ndio wale wale walio tendwa
Hata na mimi nibaki hivihivi
(Hivi hivi)
Nibaki hivihivi
Nisiwe wa kujisonya nitaumia
(Wawawawaa)
Nishushe nanga nibakie
(Wawawawaa)
Yani ni bora nituliee
(Wawawawaa)
Maumivu ya mapenzi nisivamie
(Wawawawaa)
Nijivute vumbi nisijichafue

Maumivu ya kidonda
Nikazi kuya himili
(Haayeee)
Unaweza ukapona
Lakini ikawa bado ndani
(Haayeyeee)
Natena ilivyo tabu
Mateso kuyakabili
(Haayeee)
Ukose pa kupapasa
Moyo uwe tafarani
(Iyeee)
Hata na mimi nibaki hivihivi
(Hivi hivi)
Nibaki hivihivi
Nisiwe wa kujisonya nitaumia

(Wawawawaa)
Nishushe nanga nibakie
(Wawawawaa)
Yani ni bora nituliee
(Wawawawaa)
Maumivu ya mapenzi nisivamie
(Wawawawaa)
Nijivute vumbi nisijichafue

Nisiwe wa kujisonya nitaumia
(Wawawawaa)
Yani nitaumia
Nitaumia
(Wawawawaa)
Gopa Beatz



Credits
Writer(s): Haitham Kim
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link