Nionyeshe

Baby unanitosha mwingine wa nini tenaa
Kila siku unanikosha nitake nini tenaa
Unaninyoosha mgongo ukiniumaa (Aahhh)
Nyundo msumari gonga tembele nkichumaa (Mmhh)
Sijaumbwa na choyo ukipapasa nakupaa (Eehh)
Kichwani hata nyayo vitimbwi ndani ya shukaa (Aaahh)
(Eehh) Nagunagunaa na guna guna
(Mmhh) (Mmhh) (Mmhh) (Mmhh)
(Mmhh) (Mmhh) (Mmhh)
Nagunagunaa na guna guna
(Mmhh) (Mmhh) (Mmhh) (Mmhh)
(Mmhh) (Mmhh) (Mmhh)
Nagunaagunaa

Zaidi Janaa
Nionyeshe wenye wivu wapasuke
(Aah) Mapenzi zidishaa, Mapenzi zidishaaga
Nionyeshe wenye wivu wapasuke
(Aahh) Mapenzi zidishaa, Mapenzi zidishaaga

(Aaaahhh) (Aah) (Aahh)
(Oohh) (Oohhh) (Oohhhh)

Umeiteka akilii
We mtunza sirii
Umeiteka akilii yanguu
We mtunza Siri zanguu
Ndo Maana sitaki kuhangaika nitapata tabuu
We bwanaa ukweli unanitosha napata jibu
We bwanaa Mahaba nidekezee

Nagunagunaa na guna guna
(Mmhh) (Mmhh) (Mmhh) (mmhh)
(Mmhh) (Mmhh)(Mmhh)
Nagunaagunaa

Zaidi Janaa
Nionyeshe wenye wivu wapasuke
(Aah) Mapenzi zidishaa, Mapenzi zidishaaga
Nionyeshe wenye wivu wapasuke
(Aahh) Mapenzi zidishaa, Mapenzi zidishaaga



Credits
Writer(s): Haitham Seif
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link