Nuwanje

(Nasema nongwa nongwa)
(Nongwa nongwa)
Na na na na

(Ona kizungu zungu
Zungu zungu
Cha mapenzi kinantia wenge
Namuomba Mungu
Atutulize na maisha tujenge
Hata bata ana ma uchafu
Ila analiwa
Mi binadamu nakosea
Ila nyingine tantalila
Kwako nimefua dafu
Na unaelewa
Kindava kindava
Wanione mi mshamba
Watajua wenyewe

Nuwanje
Nipe kidogo kidogo
Nuwanje
Wasione hata kidogo
Nuwanje
Ona kinyele kinyele
Nuwanje
Tusipige hata kelele
Nuwanje
Omaa kidogo kidogo
Nuwanje
Kunja ndita wape kisogo
Nuwanje
Ona kinyele kinyele
Taratibu

Usinivike kiremba nikapendeza
Mwisho wa siku ukaniumbua
Na masifa yangu na vidomodomo
Wambea wataniua
Pole pole my one and only
Nitume unapotaka kwako
Mi tolori
Ole ole mtoto mpole jicho lako tu
Lanipa morale
Hata bata ana ma uchafu
Ila analiwa
Mi binadamu nakosea
Ila nyingine tantalila
Kwako nimefua dafu
Na unaelewa
Kindava kindava
Wanione mi mshamba
Watajua wenyewe

Nuwanje
Nipe kidogo kidogo
Nuwanje
Wasione hata kidogo
Nuwanje
Ona kinyele kinyele
Nuwanje
Tusipige hata kelele
Nuwanje
Omaa kidogo kidogo
Nuwanje
Kunja ndita wape kisogo
Nuwanje
Ona kinyele kinyele
Taratibu
Eyeeyye

Mmmh
Nasema nongwa nongwa
Nongwa nongwa
Sitaki nongwa nongwa
Nasema nongwa nongwa
Nongwa nongwa
Sitaki nongwa

My bebe my bebe my bebe
My bebe Ayayaya
My bebe my bebe my bebe
My bebe Ayayaya

It's your boy Kidd
Umenishika pabaya
Shika pabaya
Bad boy Golden
Umenishika pabaya
Shika pabaya
Ayayaya



Credits
Writer(s): Salum Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link