Sabu

Kama hunipendi basiii
Atanipenda mamaa
Tusipelekane kasiii
Mpo wengi sanaaa
Aste aste
Ukiniacha nitashukuru mwaya
Bora upweke
Kibindoni niwe huru mwayaa
Moyo tuliza ngenga basii
Kupendaa Usipopendwa kazii
Penzi si nguvu nguvu nyatiii
Ona ntapiga zeze ntapiga tumba niite majirani
(Niite majirani)
Nifunike kombe shida zipite tuachane hadharani
Nifanye Sabu
(Sabu sabu sabu)
Tubadili na basikeli
(Sabu sabu sabu)
Maana ananipa taabu
(Sabu sabu sabu)
Kama mbuzi ameramba relii
(Sabu sabu sabu)
Penzi game la nyoka kuna ukuta mbelee
Chunga na vifaranga anapopita mwewe
Nimechoka vimbwanga we mwanasesele
Yasije yakanikumbwa yaliyo mkuta sele
Hunipa vyote hata unusu
Nimekisa busu hata emoji ya katuni tupu
Niringishie
Moyo tuliza ngenga basii
Kupendaa Usipopendwa kazii
Penzi si nguvu nguvu nyatiii
Ona ntapiga zeze ntapiga tumba niite majirani
(Niite majirani)
Nifunike kombe shida zipite tuachane hadharani
Nifanye Sabu
(Sabu sabu sabu)
Tubadili na basikeli
(Sabu sabu sabu)
Maana ananipa taabu
(Sabu sabu sabu)
Kama mbuzi ameramba relii
(Sabu sabu sabu)
Hayumoo
(Moyoni mwanguu)
Hayumoo
(Weka ngoma tucheze)
Hayumo
(Hanipi mawenge
Hayumo
(Limebaki jina tu)
Hayumo
(Aiyeeyee)
Hayumo
(Hanipi stress)
Hayumo
Ngoma tucheze
Hayumo
(Hana jipya kabisaa)



Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link