Unayumba

Iyee iyee
Ooh nana nanaa
Kiranga komo machozi
Niliyataka mwenyewe
Kihere here na jezi
Na mchezo nisiueleweee
Meli imegonga jabali
Mwambieni aniteteee
Ukatili unyama siuwezi
Mwambieni anihurumie
Uuhu uhuuu
Zangu Faranga natunza ili mradi tule wote
(Tule wote)
Kumbe mlibwende wa buza anahudumiwa na wote
Niliposhona ulichana
Maovu nikakusanya
Ila ukanivurugaa
(Ghaflaa)
Wewe hasi mimi chanya
Hatuendani mama
Yaanii mpaka nashangaaa
Unayumba
Unayumba
Unayumba
Unayumba
Unayumba
Nimekuwa mwendawazimu ndotoni nafoka
Akili inaniruka stimu mpaka najiogopa
Initoke na sumu umauti utanifika
Nishakwenda kwa wanajimu
Una nyota ya nyokaa
(Mi utaning'ata)
Sans toi je peux pas vivre
Mon oxygène et de penser toujours à toi
Kukupenda isiwe ngodo
Ukaja ukanipa Chongo
Ni bora uende mama
Niliposhona ulichana
Maovu nikakusanya
Ila ukanivurugaa
(Ghafla)
Wewe hasi mimi chanya
Hatuendani mama yaani mpaka nashangaaa
Unayumba
Uyeee uyee ohooo
Unayumba
Huhu huhuu
Unayumba
Unayuuuuu
Unayumba
Unayumba



Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link