Reggae Genje

Twende jiji window shopping tuchague jembe
Wanasema nawajazz na naimba genge
Nikiwauanga nare huanga beef na kengen
Ni genje ngoma za me genje
Pata ukisakata nika umebeba wembe
Kwa wale sikuwajazz Leo nimeleta reggae
Wapende wasipende we waambie wakende
Ni genje ngoma za me genje

Wanashukuru ati nlikam though nimust niende [nizidi]
Waambie me huwachear siwezi beef na brothren
Nimeketi nikamedi nkaona acha niwabebe
Ni genje ngoma za me genje

Toja custom ndio huanga rizz and pochi nene
Vitu random ndio hufanya nisiketi mbele
Tuko jamdown na mbona hapa siskii kelele na
Ni genje ngoma za me genje
Juu inasalap wanasema guza ianze tena
Juu inasalap nicross kwako though inatema
Hawana signal though nkichezwa wataguza antenna juh
Ni genje ngoma za me genje

Twende jiji window shopping tuchague jembe
Wanasema nawajazz na naimba genge
Nikiwauanga nare huanga beef na kengen
Ni genje ngoma za me genje
Pata ukisakata nika umebeba wembe
Kwa wale sikuwajazz Leo nimeleta reggae
Wapende wasipende we waambie wakende
Ni genje ngoma za me genje

Hizi beats mi uzipiga zina empty debe
Plenty fish on the sea ilibidi niongeze sembe
Huko kwenu mmekosea ama dont you feel offended jujh
Ni genje ngoma za me genje

Looking sharp double edge kitu ka machette
Benjaminz in my back sisemi kabaseke
Dunda zinapanda zikishuka na hatuzdance malwethwe
Ni genje ngoma za me genje

Juu inasalap wanasema guza ianze tena
Juu inasalap nicross kwako though inatema
Hawana signal though nkichezwa wataguza antenna
Ni genje ngoma za me genje

Twende jiji window shopping tuchague jembe
Wanasema nawajazz na naimba genge
Nikiwauanga nare huanga beef na kengen
Ni genje ngoma za me genje
Pata ukisakata nika umebeba wembe
Kwa wale sikuwajazz Leo nimeleta reggae
Wapende wasipende we waambie wakende
Ni genje ngoma za me genje



Credits
Writer(s): Brian Salaton Lemaindo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link