Understand

Sina time ya kumedi hope una understand
Sina gode nasaka pedi mwenye ata underdstand
Mimi ndo unifind lazma kwanza ucheze fundz
Early birds nko chini nasaka izi bands

Si Ni ma zuzu huwezi tuzuia kuzua
Ann hunitrace akiskia nime earn
Huwaga rare one of one Haina wengi unanijua
Jaba haiwezi tua Niikiikoki nalipua
Manzi naeza mpanda bila kumweka manure
Mjichunge tuliamua mkianika tunaanua
Karatasi pongi venye nairaraua
Denge Hana Leo Bahati ata angekua marua
Inakuaje
Venye itakua
Wausema Sala huwa balaa bin beluwa
Mwezi haiwezi Tua kama hujui si ushajua
Nimeona vitimbi ka mzee ojwang sina

Sina time ya kumedi hope una understand
Sina gode nasaka pedi mwenye ata underdstand
Mimi ndo unifind lazma kwanza ucheze fundz
Early birds nko chini nasaka izi bands

Si ni wachawi tu kwa booth tupeleke tukuroge
Lazma maganji ndo alafu sa tuboronje
Mi ndo nafanya rapper wenu abaki hopeless
Made of coke i'm pure dopeness
Msee niko fly ka msee amebook firstclass
Mlichochwa na ile slogan ati ya hustlers
Ukiturate kwa kutema tumepita passmark
Tulimwacha na scar ye atakuchocha ni birthmark
Hope you understand siezi nukia verseman
Hujacheza depo siezi kuekea verse man
Kwa bash na amaketi mbona sasa hujadance mah
Na Tik tok kila msupa ni dancer

Sina time ya kumedi hope una understand
Sina gode nasaka pedi mwenye ata underdstand
Mimi ndo unifind lazma kwanza ucheze fundz
Early birds nko chini nasaka izi bands

Last time pedi alifuck up na mali yangu akaseti fegi
Angekulwa headi nivile ni goshodo na ni peng
Before atoke alipewa headi na ujinga ndio sipendi
Nimeplan wiki yote alafu unanishow hukuji wikendi
Unajifanya kendo kwani hujui huku nje niko na jeshi na madem ni kendi
Wanadai spendi yoh shida si mula aha
Yoh shida ni dula, shida ni unajidai alafu unakaa ndula
Unajita snack na hukai kukulwa

Sina time ya kumedi hope una understand
Sina gode nasaka pedi mwenye ata underdstand
Mimi ndo unifind lazma kwanza ucheze fundz
Early birds nko chini nasaka izi bsnds



Credits
Writer(s): Brian Salaton Lemaindo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link