Sipatikani (feat. Alma)

Sipatikani by unspoken Salaton

Nobody is perfect waliinitaga nobody,+
Not a ceo but utapenda my company
Hatuset standard tume set alamar 4:30
Hawakutambua sai ni Buda cheki Leo uko wapi

Aiiii aii aaiii sipatikani
Aiiii aii aaiii kwani we uko wapi
Aiiii aii aiiii sipatikani
Aiiii aii aiii kwani we uko wapi

Spatikani twice spatikani once
Spatikani at all kama ainihusu na bounce
Wanantafuta waniongeze body count
Mi Ni masaai Niko zile holy cow+
Cheki Jersey tunadunga wote tho siko ligi Yao
Smart naongeza gode nikipewa beat mandirao
On the rice ka recipe ya pilau
Ni ma king side zao venye plastic is the crown
Erection coz I'm going harder,si tunapanda
Snaga Taki ya kutaka taka taka
Wanafwata hizi pattern
Kawaya tushakwata
Kitambo walihate sai Ni Mimi tu wanatafta

Nobody is perfect waliinitaga nobody,+
Not a ceo but utapenda my company
Hatuset standard tume set alamar 4:30
Hawakutambua sai ni Buda cheki Leo uko wapi

Aiiii aii aaiii sipatikani
Aiiii aii aaiii kwani we uko wapi
Aiiii aii aiiii sipatikani
Aiiii aii aiiii kwani we uko wapi

Aiii I'm not that nice, nitakufa na kazi we unadhani ati nasmile

Hi kuliko high five, the only thing I do ni pressure kuapply
Aii sai sai nitakuja ka ni biz unadai, no time ya kupatana
Nikuchome my guy aaii
Hizi ni gani walai alisema ananipenda kumbe issa lie aah
Paper paper nikipata nitasepa nilihama siko area
Sacco ndogo nilipunguzanga radius

Nobody is perfect waliinitaga nobody,+
Not a ceo but utapenda my company
Hatuset standard tume set alamar 4:30
Hawakutambua sai ni Buda cheki Leo uko wapi

Aiiii aii aaiii sipatikani
Aiiii aii aaiii kwani we uko wapi
Aiiii aii aiiii sipatikani
Aiiii aii aiiii kwani we uko wapi



Credits
Writer(s): Brian Salaton Lemaindo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link