Hapo Mwanzo

hapo mwanza kulkua na neno
nae neno alkua kwa mungu
na tena neno uyuu alkua mungu
nae neno alfanyika mwili
akaja akakaa kwetu
tukauona utukuufu wake mwana kondoo
yohana almwona amevikwa
vazi lilichovya katka dam
na jina lake lilikua mwana wa mungu



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link