Tumsifu Bwana

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana
Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana

Kijana simama, simama tumsifu Bwana
Watu wote simama, simama tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama aah tumsifu Bwana

Ndugu yangu simama, simama aah tumsifu Bwana
Uliyeketi simama, simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana

Nasema nawe uliyemata tamaa
Unaona kila kitu huwezi
Kila jambo jema unalofikiri
Mbona anawapa wengine

Kama Bwana aweza kutumia kila kitu
Mwambie akutumie leo
Mpe moyo na maisha yako
Yote na wala si nusu

Akutumie vile apendavyo
Mwambie nitumie Bwana
Leo hii na wala sii kesho
Leo hii leo hii

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana

Tukimuita atatuitika
Tukimkaribia atatukaribia
Tukiinua mikono yetu naye atatuinua juu
Tukimpa mioyo yetu ataponya nchi yetu

Njooni tulisifu jina lake Bwana
Enyi watakatifu wa Mungu
Maana kusifu kunawapasa
Wanyoofu wa moyo

Tumsifu Bwana sifu Bwana tumsifu Bwana (Tumsifu Bwana)
Tumsifu Bwana sifu Bwana tumsifu Bwana (Tumsifu Bwana)
Kwa makofi kwa nderemo na vifijo (Tumsifu Bwana)
Kwa matone kwa vinubi na vinanda (Tumsifu Bwana)

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Katika sifa magonjwa yanapona simama simama aah (Tumsifu Bwana)
Katika sifa mapepo yatoroka simama simama aah (Tumsifu Bwana)

Katika sifa utukufu unashuka simama simama aah (Tumsifu Bwana)
Usipo sifu hata mawe yatasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana)
Usipo sifu hata milima itasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana)
Ukinyamaza sisimizi watasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana)

Ukinyamaza hata mito itaimba simama simama aah (Tumsifu Bwana)

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Simama, simama simama aah tumsifu Bwana



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link