Ni Kwa Neema Tu
Kwa neema ya Bwana kwa neeema x
hivi nilivyo mimi ni kwa neema
wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema x ya Bwana
ohh aah
nakushukuru Mungu kwa neema inayofanya niishi
nakushukuru mungu kwa ajili ya Yesu mwanao Nimepata Neema
nakushukuru mungu wa mbinguni ni kwa neema yako ninakula ninakunyua
hivi nilivyo mimi ni kwa neema yako
wala si kwa ujanja wangu ni kwa neema
hivi nilivyo mimi ni neema wala si ujanja wangu ni neema Bwana
kiitikio
hivi ningekuwa nani kama si wewe
Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu
nani angelisikiliza nikiomba
naomba nasikilizwa kwa neema yako nimeomba mke mwema umenipa
sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
x eh
kiitikio
Nani angekusikiliza ndugu yangu
Nani angekusikiliza ukiomba
umeomba umejibiwa maombi
sio kwa ujanja wako ni kwa neema
usidharau wengine ndugu yangu
vyote ulivyo navyo ni kwa neema
hivyo ulivyo ndugu ni kwa neema
sio kwa ujanja wako ni kwa neema
hivi nilivyo mimi ni kwa neema
sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
hivi tulivyo sisi ni kwa neema
sio kwa ujanja wetu ni kwa neema
eh
kiitikio
rudia ubeti wa pili
kiitikio x
mwisho
hivi nilivyo mimi ni kwa neema
wala sio kwa ujanja wangu ni kwa neema x ya Bwana
ohh aah
nakushukuru Mungu kwa neema inayofanya niishi
nakushukuru mungu kwa ajili ya Yesu mwanao Nimepata Neema
nakushukuru mungu wa mbinguni ni kwa neema yako ninakula ninakunyua
hivi nilivyo mimi ni kwa neema yako
wala si kwa ujanja wangu ni kwa neema
hivi nilivyo mimi ni neema wala si ujanja wangu ni neema Bwana
kiitikio
hivi ningekuwa nani kama si wewe
Nani angenisikiliza kama si wewe Yesu
nani angelisikiliza nikiomba
naomba nasikilizwa kwa neema yako nimeomba mke mwema umenipa
sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
x eh
kiitikio
Nani angekusikiliza ndugu yangu
Nani angekusikiliza ukiomba
umeomba umejibiwa maombi
sio kwa ujanja wako ni kwa neema
usidharau wengine ndugu yangu
vyote ulivyo navyo ni kwa neema
hivyo ulivyo ndugu ni kwa neema
sio kwa ujanja wako ni kwa neema
hivi nilivyo mimi ni kwa neema
sio kwa ujanja wangu ni kwa neema
hivi tulivyo sisi ni kwa neema
sio kwa ujanja wetu ni kwa neema
eh
kiitikio
rudia ubeti wa pili
kiitikio x
mwisho
Credits
Writer(s): Boniphace Mwaitege
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.