Njoo Ufanyiwe Maombi

Njoo njoo njoo
Njoo Kaka, Njoo Mama, Njoo Baba, njoo
Sehemu nyingi umezungu, Kwa Yesu Sasa njoo
Tatizo lako umezunguka nalo sanaa
Sehemu nyingi umezunguka kwa Yesu sasa njoo, njoo mama

Njoo ufanyiwe Maombi, njoo uombewee
Njoo ufabyiwe maombezi Mama,
Njoo ufanyiwe maombi, kwa jina la Yesu kristo,

Njoo ufanyiwe maombezi Baba,
Ukiombewa tatizo lako ni dogoo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
Njoo ufanyiwe maombezi Baba

Nazunguka mitaanii,
Natangaza Yesu ni Bwana,
kwa wagonjwa Mbali mbali
Nawambia Yesu anaweza
Na wewe unayenisikiaa
Nasema Yesu nimemthibitisha
Na wewe unayenisikia leoo
Nasema Yesu ninauhakika naye

Njoo ufanyiwe maombi
Huu ndio ushauri wangu kwako
Njoo ufanyiwe maombii
Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa
Njoo ufanyiwe maombi
Huu ndio ushauri wangu kwako
Ndugu yangu wewe

Njoo ufanyiwe Maombi, njoo uombewee
Njoo ufabyiwe maombezi Kaka
Wengi wameombewa
Njoo ufanyiwe maombi, kwa jina la Yesu kristo,

Njoo ufanyiwe maombezi Dada,
Usiteseke bure
Ukiombewa tatizo lako ni dogoo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we
Haleluya hee

Yesu ni mwanaume
Kati ya wanaume
Yesu ni mwanaume eeh

Hili tatizo la kupata Ajira
Limekuwa Sugu kwako
Vyeti unavyo na sifa za kupata kazi unazo
Lakini roho ya kukataliwa inakusumbua

Mfanya Biashara unayenisikia
Huwezi kufanya chochote bila Mungu we
Biashara yako ilete kwa Mungu
Kwani yeye ni chanzo cha mafanikio
Akuepushe na kina chuma ulete
Biashara yako iwe na mafanikia

Njoo ufanyiwe Maombi,
Huu ndio ushauri wangu kwako,
njoo njoo njoo njoo mama
Njoo ufanyiwe maombezi ndu yangu wee
Njoo ufanyiwe maombi,
njoo uombewe
njoo ufanyiwe maombi
kwa jina la Yesu kristo,
Njoo ufanyiwe maombezi Baba,
wengi wameombewa
Ukiombewa tatizo lako ni dogoo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
kwa jina la Yesu
Njoo ufanyiwe maombezi Baba

Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea
Madaktari hawalioni tatizo
Mwilini mwako unahisi kuna vitu vinatembea
Madaktari hawalioni tatizo
Tatizo hili linakuchangaya pole
Waganga hawalioni tatizo hilo
Tatizo hili linakuchangaya Mama pole
Waganga hawaliwezi tatizo hilo

Njoo ufanyiwe maombi
Wenye tatizo kama lako wengi walishafunguliwa

Njoo ufanyiwe Maombi,
Huu ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu we
njoo uombewee
Njoo ufabyiwe maombezi
Njoo uombewe
Njoo ufanyiwe maombi kaka,
Wengi wameombewa,
Njoo ufanyiwe maombi
kwa jina la Yesu kristo,

Njoo ufanyiwe maombezi dada,
Usiteseke bure
Ukiombewa tatizo lako ni dogoo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo
Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo
Njoo ufanyiwe maombi
njoo uombewe
Njoo ufanyiwe maombezi ndugu yangu we
Haleluya hee

THE END



Credits
Writer(s): Boniphace Mwaitege
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link