Inua Macho
Ooh
Ooh
Ooh
Hallelujah Eh
Eh Yahweh
Ooh
Hallelujah Zame
Imeandikwa Alani we amtegemeae mwanadamu
Imeandikwa Alani we amtegemeae mwanadamu
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake moyoni mwake amemwacha mungu
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Moyoni mwake amemwacha mungu
Ndugu yangu Kwa nini ulaaniwe kwa kumtegemea mwanadamu
Ndugu yangu Kwa nini ulaaniwe
Kwa kumtegemea mwanadamu
Kijana mwenzangu kwanini ulaaniwe
Kwa kumtegemea Mwanadamu
Msaada wa mwanadamu una mwisho wake
Msaada wa mungu huna mwisho kamwe
Mwanadamu naweza choka kusamehe lakini mungu hawezi kuchoka
Mwandamu anaweza choka kukuvumilia lakini mungu hawezi kuchoka
Unatakiwa uinue macho juu
Aliko muweza wa vyote
Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Mama mjane
Inua macho
Inua
Inua macho juu
Hallelujah
Mtazame mweza wa vyote
Kwake yeye
Kwake upo msaada wa kudumu (kwake Mungu wa yesu)
Hallelujah eeh
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Mtoto yatima
Ondoa mashaka
Inua inua macho juu (halellujah)
Mtazame mweza wa vyote
Kwake
Kwake upo msaada wa kudumu (Kwake Yeye)
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Mama mjane
Kuwalea watoto
Inua inua macho juu (ooh mama yangu)
Mtazame mweza wa vyote
Kwake yeye
Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Wewe ndugu yangu unaetafuta ajirawe
Inua inua macho juu (yeye ni bwana)
Mtazame mweza wa vyote
Kwake yeye
Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Mtazame bwana
Mtazame messisah
Mtazame mweza wa vyote
Aaah
Eeh ahh
Danieli alitupwa kwenye simba
Adui zake walitaka afe
Danieli aliinua macho yake juu akamwomba mungu mweza wa vyote
Akasema mungu awafunge vinywa hawa simba
Wasinidhuru mtumishi wako
Mungu wa mbinguni alimsikia aah akawafunga vinywa wale simba
Danieli akawa salama katikati ya simba wenye njaa kali
Inua na wewe
Inua macho juu
Mtazame mungu mweza wa vyote
Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Ndugu yangu
Inua macho
Inua inua macho juu (mtazame bwana)
Mtazame mweza wa vyote
(Kwake yeye) Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Mkulima huko shambani
Inua inua macho juu (mtazame bwana)
Mtazame mweza wa vyote
(Kwake yeye)
Kwake upo msaada wa kudumu
Ameahidi hawezi kuchoka kukusaidia kamwe
Uliye okoka popote ulipo
Inua inua macho juu (mtazame bwana)
Mtazame mweza wa vyote
Yupo kwa ajili yetu
(Kwake yeye) kwake upo msaada wa kudumu
Hawezi kuchoka kukusaidia Kamwe
Wewe mwanafunzi kuhusu masomo
Inua inua macho juu (inua macho yako)
Mtazame mungu wako

Credits
Writer(s): Boniphace Mwaitege
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.