Nairobi feat. Stan

nairobi, nairobi
jua limewaka nairobi, kuna sola sana
warembo wamedunga nairobi, noma sana na
majambaz wako macho, wakichora mchoro na
kasisi wahubiri, in the city
nairobi, kuna sola sana
kijijini ni ku poa sana



Credits
Writer(s): Benson Mutua Muia
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link