Ama Zake Ama Zangu

Nitapiga mtu jini hapa na yeyote yule aliyekuwa akinifuatafuata
Siku yoyote nitakapomgundua ndipo atapojua zitakuwa
Ama zake ama zangu ataka kunivunjia ndoa yangu? Basi tutaona hah

Siku hizi sina raha na mke wangu nyumbani nirudipo kazini humkuta kajiinamia
Pole ee bwana
Nauliza vipi mke wangu mbona umekasirika hushindwa kunijibu hubaki analia
Masikini analia
Nazidi kumbembeleza sanasana mke wanguwe mwisho nae akaamuwa kunielezea
Aaaaa! akasema

Eti anafahamu mambo yangu yote nifanyayo nikiwa kazini-Jamaa anakuchimba huyo
Eti nina wanawake wengi sana miye hivyo basi anataka tutengane-Anakufuatilia
Namfikiria ampae maneno mke wangu nami sitokubali namsaka mbea huyo-Ama zake ama zangu
Namfikiria ampae maneno mke wangu, nami sitokubali namsaka mbea huyo
Aah Daudi mtoto wa kanisani piga kwanzagitaa-Aaaah man what r u talking abot man? ah

Siku hizi sina raha na mke wangu nyumbani nirudipo kazini humkuta kajiinamia
Pole ee bwana
Nauliza vipi mke wangu mbona umekasirika hushindwa kunijibu hubaki analia
Masikini analia
Nazidi kumbembeleza sanasana mke wanguwe mwisho nae akaamuwa kunielezea
Aaaaa! akasema

Eti anafahamu mambo yangu yote nifanyayo nikiwa kazini-Jamaa anakuchimba huyo
Eti nina wanawake wengi sana miye hivyo basi anataka tutengane-Anakufuatilia
Namfikiria ampae maneno mke wangu nami sitokubali namsaka mbea huyo-Ama zake ama zangu
Namfikiria ampae maneno mke wangu, nami sitokubali namsaka mbea huyo

Ama zake ama zangu ole wake akae akijuwa labda nisimtambue

Nimeelewa nia yake nikutaka kunigombanisha
Imekuwa sikai nikafurahi mimi na mke wangu

Mtu huyo adui yangu kanitafuta kwa siku nyingi naona amenipata

Chokochoko fitina unafiki na uchonganishi vimezidi lakini sasa atapigwa mtu jini AAhh
Nashangaa unaruka majivu unakanyaga moto, hivi hujui panapofuka moshi panaficha what?

Motooo!

Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole

Wana miwani hao - hao wademadema na njia zao
Watanzania hao - hao wademadema na njia zao
Wa Dar es salaam nao - hao wademadema na njia zao
Wana wa Tanga nao - hao wademadema na njia zao
Arusha nao - hao wademadema na njia zao
Wana wa Mwanza nao - hao wademadema na njia zao
Mafia Pemba Zanzibar - hao wademadema na njia zao
Makao makuu Dodoma - hao wademadema na njia zao

Aaah Mbaya wa wabaya wa wabaya wa wabaya wa wabaya
Aliye juu ya walio juu ya walio juu ya walio juu kabisa
Mungu atajuona hehee

Aahh Aahh Sshh Pumuwa Aahh Aahh Sshh Hema Aahh Aahh Sshh Pumuwa Aahh Aahh Sshh
Hehehehe kumekuchakumbe ni wewe aahh, Jua kali mlala hoi
Kubali kuongozwa usikubali kutawaliwa, aah kubali kuelimishwa na kueleweshwa
Usikubali kushurutishwa na kulazimishwa, maneno ya hekima, come on Shauri yako

Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole
Mdo mama mdo- kolekole

Wana miwani hao - hao wademadema na njia zao,
Wa Nairobi hao - hao wademadema na njia zao
Wa Kampala nao - hao wademadema na njia zao
Kigali Rwanda - hao wademadema na njia zao
Wa Bujumbura nao

Credits
Writer(s): Fresh Jumbe Mkuu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link