Waalimu

A E I O U

Aaah waalimu wetu tuwanyenyekee, tuwaheshimu Tunapaswa kuwaheshimu

Tuwape heshima na unyenyekevu waalimu - waalimu wetu wa chekechea
Tuwape heshima na unyenyekevu waalimu - waalimu wetu wa msingi
Kwani wao ndio mwanga wa maisha ya dunia - Sekondari nao oh na vyuo vyote jamani
Kwani wao ndio mwanga wa maisha ya dunia

Mmm mmmh mmmh
Ayaiyaiyo nakumbuka miaka mingi leo imepita
Wazazi wangu wananishika mkono kiguu na njia kuelekea shuleni
Nakutana na waalimu wananipokea oh sijui mbele oh! sijui njuma mmh
Sijui moja sijui mbili oh nakutana mwalimu mwalimu Halima
Ananipokea nakufanya mambo yake sasa najuwa mambo yote
Mwanga wa maisha unaniongoza kusoma najuwa kuandika najuwa
Mshahara wa kutosha napata oh
Walimu wetu we tuwape heshima walimu wetu we tuwaheshumu jama uuuh

Tuwape heshima na unyenyekevu waalimu - Tuwape mshahara wa kutosha iih
Tuwape heshima na unyenyekevu waalimu - Mshahara wapate mape mape mapema uuh
Kwani wao ndio mwanga wa maisha ya dunia - Marupurupu yaongezeke ohj wafaidike oh
Kwani wao ndio mwanga wa maisha ya dunia - Waalimu wtu we waalimu wetu we uuh!

Ah ah ah ah ha a Ah ah ah ah ha a Ah ah ah ah ha a Ah ah ah ah
Tuwape heshima, Waalimu wa chekechea jama uuh
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape heshima Waalimu wa msingi jama iiih
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape hesjima Waalimu wa vidudu jama iiih
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape heshima Waalimu wa sekondari jama uuuh
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape heshuma Waalimu wa koleji zote iiih
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape heshima Waalimu wa vyuo vikuu jama uuh
Aa waalimu wetu eh waalimu
Tuwape heshima Waalimu wote jama uuh uuuh uuhh uuh uuh!
Aa waalimu wetu eh waalimu
Iiiiih iiiihh iihh iihhh uuuh
Waalimu wetu tuwaheshimu
Wapi mwalimu Halima
Waalimu wetu tuwaheshimu
Wapi mwalimu Mhina wewe
Waalimu wetu tuwaheshimu
Wapi mwalimu Mussaji ooh ooh
Waalimu wetu tuwaheshimu
Shule ya Makorora
Waalimu wetu tuwaheshimu
Waalimu tusiwape taabu
Waalimu wetu tuwaheshimu
Tuwalipe mshahara wao
Waalimu wetu tuwaheshimu
Wakati unaostahili
Waalimu wetu tuwaheshimu.

Uuuuh uuuhh nalilia walimu wetu weee, tuwahewshimu walimu wetu weee
Aaaah tuwalipe mshahara wao mapema sana iwezekanavyo jamani uuh uuh uuhh

Tuwape marupurupu Fessshhh!



Credits
Writer(s): Fresh Mkuu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link