Kanyaga

It's Platnumz, Zombie
(Woo, woiyo ooh woiyo ooh)
Its S2kizzy beiby

Ati kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mmbeya asiye rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usinichi
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi?

Kanyaga
Wazee wa shombo kudandia, kanyaga
Klabu kuomba omba bia, kanyaga
Slay queens vibishoo vya bandia
Ukivipa hai ati madai vinavimbia

Kanyaga!
Uzushi, kanyaga!
Mashemu feki, kanyaga!
Nuksi, kanyaga!
Kudadadeki, kanyaga!
Mawifi, kanyaga!
Mpaka ma ex, kanyaga!
Mikosi, kanyaga!
Woooya kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!

Yii, lanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zanku
Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku
Kanyaga! Kanyaga!
Yeah, kidaku daku
Kanyaga! Kanyaga!
Wajue hizi namba chafu

Woo, woiyo ooh woiyo ooh
Woo, woiyo ooh woiyo ooh

Ooh yeah eeh
Siku hizi watu wanataka money
So mi-gym itaku kosti, kanyaga!
Kunitumia mipicha pigo gani?
Ati basi day nikuposti (oh yeah yeah)

Kadi za harusi kuchanga changa, kanyaga!
Wakati mwenyewe nina majanga, kanyaga!
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)

Kama buti la mugambo, kanyaga!
Wavuruga mipango, kanyaga!
Wazee wa Insta michambo
Ati 'baby niunge bando'

Kanyaga!
Uzushi, lanyaga!
Mashemu feki, kanyaga!
Nuksi, kanyaga!
Kudadadeki, kanyaga!
Mawifi, kanyaga!
Mpaka ma ex, kanyaga!
Mikosi, kanyaga!
Woooya kanyaga!

Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!
Kanyaga! Kanyaga!

Yii, kanyaga! Kanyaga!
Kama unanicheza zangu
Kanyaga! Kanyaga!
Wale wakuda wadaku
Kanyaga! Kanyaga!

Yeah, kidaku daku
Kanyaga! Kanyaga!
Wajue hizi namba chafu

I say leeeooo
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wapeni abare, kama wao paka si mbwa koko

Leeeooo
Usiku hatulali, tunakesha kama popo
Leo, leo
Tena wapeni abare, kama wao paka si mbwa koko

Asa timba, timba timba (timbaaa)
Wanangu timba (timbaaa)
Kwa guu la kushoto (timbaaa)
Guu la kulia (timbaaa)

I say timba, timba timba (timbaaa)
Oyaa wahuni timba (timbaaa)
Kama unazikili (timbaaa)
Chinja kabisa kili (timbaaa)

Kimya!



Credits
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Naseeb Abdul Juma Issack
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link