Mapenzi Basi

A-M Records
This is crazy, I just want to tell you
How badly my heart is broken
This is absolutely painful for me to say this, damn

Mie mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki

Yalinifanya nikaugua
Mara napanga napangua
Mwili ukakonda nikapungua
Oh sikulala, sikulala

Oh maradhi nikaugua oh
Yakanichoma na kuungua roho
Kutwa nawaza na kuwazua
Sikulala

Yani hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nishagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke, ai

Haya mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nikagombana
Usiku mchana, yeye

Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki

Oh nilishagombana na mama mzazi
Akataka nimwagia radhi
Sababu yule fulani
Yule wamoyo wangu

Yakaleta zengwe kwa kazi
Ugomvi wa simba na panzi
Vurugu kwa majirani
Ai eh Mola wangu

Yani hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nishagombana nikatukanwa
Lakini akanipiga teke, ai

Hayo mapenzi bwana hayana maana
Yalinifanya mi nichekwe
Sababu yake nikagombana usiku mchana
Yeye

Mi mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki
Oh mwenzenu tena basi
Oh mapenzi sitaki
Oh mwenzenu tena basi basi sitaki



Credits
Writer(s): Issaack Nasibu Abdul Juma
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link