Moyo Wangu

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee
Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ah

Upole wangu simanzi eeh kwangu kupenda maradhi eeh
Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sinaa
Jichoni kwangu kibanzi eeh ninakapenda kamanzi eeh
Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sinaa
Ufinyu wa mboni zangu (mboni zangu) unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hata kupenda sina raha ona nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najutakupendaa

Moyo wangu hmee (moyo mama), moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee
Moyo wangu hmee (moyo mama) moyo wangu mama hmee (moyo mama)
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama

Hmm tenaa ni kutwa kucha maneno
Kosa sikosa maneno ili mradi tu karaha tantalila mmh sina raha
Wala sina tena mipango(ha.ho) kutwa nzima na mawazo Gina uh aah
Ooh sina raha oh mama

Tamu ya wali ni nazi eeh
Raha ya supu mandazi eeh
Raha yangu mi kupendwa tu nae
Lakini nyota sinaa
Laana napata na radhi eeh nawakufukuru wazazi eeh
Kwa kung'ang'ana mi kutaka kuwa nae lakini bahati sina

Masikini roho yangu (roho yangu) ingelikuwa ni nguo ningempa avae
Kila kona akipita wamsifie ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina lishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eeh mara iih hata najuta kupendaaa

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hme umeniponza mamaa ah ah ah

Moyo wangu hmee moyo wangu mama hmee
Moyo wangu mimi hmee umeniponza mama hmee



Credits
Writer(s): Diamond Platnumz
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link