Intro

Yanaanza na shauku
Kinachofuata ni furaha isiyo na kifani
Baada ya kujuana, yanakuja mazoea
Mazoea yakizidi yanasababisha kutoelewana na pengine
Huleta ugomvi
Na mara nyingi ugomvi huweza kusababisha uadu!
Mapenzi!
This is LOVE ALBUM



Credits
Writer(s): Juma Mkambala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link