Sugarcane (feat. GNako & Tommy Flavour)

Nasema njoo njoo my boo
Nikupe kipendacho roho
Umenivuruga hamu so full
Nisikize mimi nikupe show

Kam kam nikupe tam tam
Tupeane zam zam
Nateseka na love love
I love the way you shake
You ghetto to rest let me test

Ni balaa
Wana maneno shombo ni kinyaa
Mahaba niuwe kishujaa
Kwenye shida na raha
Vile utakavyo mi nafaa
Mlimbwende we ni kifaa

I feel so good the way you do
Mimi nikiwa nawe nipe tena round two
All eyes on you
Nataka niwe nawe tu beiby

Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them

Sitakuchezea mama tutadumu
Kulinda penzi lako kwangu ni jukumu
Wapoteze watakupa sumu
Kisha togombane mama unlaumu
Mapenzi matamu japo magumu

Sitaki nikosee kesho unihukumu
Mapenzi yote weka humuhumu
Usije nipiga chini nitakunywa sumu girl
Nishakuwa na wengi yeah ah
Wewe umeniweza Sioni mwingine zaidi ya wewe

Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them

Kamua kamua
Kamua kamua
Kamua kamua
Kamua kamua

Fumba kama murder scene (murder scene)
Ugonjwa wangu nipe medicine (medicine)
Nabaki kuja I want again
Nisambaratishe bila deni

Nibadilishie angle girl
Hali yangu sio magendo girl
Mjengo mpya sisi wageni
Tuna majirani they know my name
Rock your body (Rock)
Rock your body

Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them
Let me be your sugarcane sweeter than them

Credits
Writer(s): Juma Mkambala
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link