Tawire (feat. Jay Melody)

Hii Hii
Shepu sifuri tege kidogo
(Kido kido)
Kwenye nyumba ya jirani
Kaumbo kake fidodido
(Fido fido)
Kama mdoli jamani
Akitoka na mama na baba eeh
Kutwa yupo kwenye car
Maisha yangu kibanganazi
Aiyaa yaya
Hali yangu mi hohehahe
Mi sidhani kuwa nae
Nahofia kubezwa na wazazi
Hii hii
Mtoto mashallah eeh
Mashallah eeh
Nyuma lawama
Kanichanganya ehe
Changanya eeh
Ana jicho nyanya

Mimi kwako mto toto
We ndo sikukuu
Ebu nipe majo joto kwa baridi uhuu

Tawire
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Penzi limekaba koo
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Aste aste
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Usije kunitoa roho
Tawire, tawire, tawire
Ukanifunga kibindo
Tawire, tawire, tawire

Ooohoo

Kaanzisha agenda
Eti yake maujuzi
Check ninvyolipenda umbo lake namchungulia
Najivika uremba,
Mama naua ngamia
Yaani mpaka ni danger
Hii namchuchumia
Ah ulete ulete huo moto na uchochee
Ayaya
Naangusha kidude mama kiokote
Ayaya
Ah ulete ulete huo moto na uchochee
Sijanyimwa vyote nina majaliwa
MUNGU kanipa moja kubwa

Mimi kwako mto toto
We ndo sikukuu
Ebu nipe majo joto kwa baridi uhuu

Tawire
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Penzi limekaba koo
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Aste aste
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo
Tawire, tawire, tawire
Mama mama aaah
Tawire, tawire, tawire
Binti maringo

Leleele
Yeyeyeye

Kinyau nyau kikia cha pweza
Mambo hamtayaweza
Kinyau nyau kikia cha pweza
Mambo hamtayaweza
Kinyau nyau kikia cha pweza
Mambo hamtayaweza
Kikia cha pweza
Mambo hamtayaweza



Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link