Usiende Mbali
Eiyee
It's your boy golden
Mmmh
Deka unavyodeka kama mtoto
Mi nitakubembeleza mi ni wakoo
Nitazidi kupa vitu motomoto
Mapenzi kupendana si mchezo
Nakusihi usije niacha mimi solemba
Najisihii na mimi nisije kuacha wewe solemba
Na tunavyoishii
Wanadhani tunadanganyana
Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana
Usiende mbali na miii
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiende mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi mimi mimi
Kwani bado nakupenda
Nakupenda unanipenda
Usije kwenda mbali nami
Nakupenda unanipenda
Usije kwenda mbali nami
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanataka mapinduzi
Na mapinduzi hawayawezi
Maumivu ya mapenzi naogopa sana
Hata wivu unaodhani sina roho ya chuma
Na tunavyoishi wanadhani tunadanganyana
Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana
Usiende mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiende mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiendeeeeee
Kwani bado nakupenda
Usiondekeeee
Kwani bado nakupenda
Usiondoke eheh heh
Ehee ehe
Kwani bado nakupenda
Usiondoke ehee heeh
Eheh ehee
Kwani bado nakupenda
Eheee ehhe
Unanivuruga ehee
Unanivuruga vuruga
Unanivuruga we mama
Unanivuruga eeh
Unanivuruga vuruga
Unanivuruga vuruvuru
Unanivuruga eeh
Unanivuruga vurugaa
It's your boy golden
Mmmh
Deka unavyodeka kama mtoto
Mi nitakubembeleza mi ni wakoo
Nitazidi kupa vitu motomoto
Mapenzi kupendana si mchezo
Nakusihi usije niacha mimi solemba
Najisihii na mimi nisije kuacha wewe solemba
Na tunavyoishii
Wanadhani tunadanganyana
Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana
Usiende mbali na miii
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiende mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi mimi mimi
Kwani bado nakupenda
Nakupenda unanipenda
Usije kwenda mbali nami
Nakupenda unanipenda
Usije kwenda mbali nami
Wanapiga misele kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanataka mapinduzi
Na mapinduzi hawayawezi
Maumivu ya mapenzi naogopa sana
Hata wivu unaodhani sina roho ya chuma
Na tunavyoishi wanadhani tunadanganyana
Si rahisi amini mimi nawe hatutatengana
Usiende mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiende mbali na mimi
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali na mi
Kwani bado nakupenda
Usiendeeeeee
Kwani bado nakupenda
Usiondekeeee
Kwani bado nakupenda
Usiondoke eheh heh
Ehee ehe
Kwani bado nakupenda
Usiondoke ehee heeh
Eheh ehee
Kwani bado nakupenda
Eheee ehhe
Unanivuruga ehee
Unanivuruga vuruga
Unanivuruga we mama
Unanivuruga eeh
Unanivuruga vuruga
Unanivuruga vuruvuru
Unanivuruga eeh
Unanivuruga vurugaa
Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.