Mvua

It's your favorite boy truname from this city
Mmhmm eehe
Mmmh
Sijajuta kuwa na wewe
Ila maumivu ya siku mbili kama miaka ishirini
Ungezidisha ya tatu miaka tisini
Mie lawama sina
Pirato ni wewe uliyenihukumi mie
Na kama wa kumpa huna
Basi usijali nirudishie mie
Ila ukumbuke sikio lako hukutuliza mama
Kikazonga kipupwe na mi maneno isiyokuwa na maana
Niko radhi unisurubu ila kulia mtu mzima ni aibuu
Acha mvua
Mvua ifutee
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
Acha mvuaa
Mvua ifutee
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
Mi nafungua soda, wanakunywa wenzangu
Nachonga kigoda naambiwa sio changu
Silaumu marafiki zako
Maana uliwachagua mwenyewe
Mlichofunzana siri yakoo
Ila umenipa donda ndugu tena haliponi
Ona madaktari na waganga wote hawalioni
(Hawalioni)
Linauma ndani kwa ndani
Linachoma ndani kwa ndani
Linauma mwenzenuu eeh eheee
Acha mvua
Mvua ifute
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
Achaa mvua
Mvuaa ifute
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
We unanajua kwamba mimi naumiaa
(Naumia)
Huruma yako naomba basi sikiaa
(Sikia)
We unajua kwako sijiweziiii
Mi nitasubiri siku,mwaka,mweziiii hii
Acha mvua mvua ifute
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
Acha mvua
Mvua ifute
Ifute machozi yangu mimi
Ifute machozi yangu mimi
Hihiihi hihiiii
Golden.



Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link