Don't Give Up On Me

Lala lala la
Lala lala la
Lala lala la
Lala lala

Please don't give up upon me baby
I woun't give up upon you baby
Spend my whole life carrying all this weight
I know you love me and I made you wait
Please don't give up upon me baby

Usichoke, usikonde
Usilie nipo ne wewe
Usichoke, usinitupe
Usinikane

Lala lala la
Lala lala la
Lala lala la
Lala lala

Usinichoke don't give up
Usinitupe tupe eeh
Kaa na mimi niwe nawe
Siku zote saa zote

Usinitupe kaa na mimi
Usinitoke usiniponde
Karibu naja, don't go
Karibu naja

Usichoke, usikonde
Usilie nipo ne wewe
Usichoke, usinitupe
Usinikane

Lala lala la
Lala lala la
Lala lala la
Lala lala ooh

Ata ukienda fikiria
Ata ukienda ka ukijua
Ata ukienda elezea

Ata ukienda fikiria
Ata ukienda ka ukijua
Ata ukienda elezea

Usichoke, usikonde
Usilie nipo ne wewe
Usichoke, usinitupe
Usinikane

Lala lala la
Lala lala la
Lala lala la
Lala lala ooh

Don't give up
Don't give up on me
Don't give up
Don't give up on me



Credits
Writer(s): Judith Wambura Mbibo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link