Show Stopper

Eeeh eh
Nikanzaa
Eh eh yeah
Bfm baby

Twenty one four nafunfua new folder na go harder mahaters huko chini mtangoja
Napanda lader zaidi yani nikivuka border
Mtabaki mkitembea na slippers wakati na fly high kama chopper
Life nikama kidero ukiaply itaku slap harder
You better hustle sasa kabla hujaitwa Buda
Sijaukaaibika kaa paster amekutwa akivuta shada
Vigumu kunielewa kabla hadhi yako sio ya martin ludha
Na hustle hard
Natema ki badboy
Nikidrip vi hard zaid ya vanistrooy
Nimeshika uskani mahaters hamtoboi
Narep mombasani full time ya magoigoi
Sitaki kuitwa madiba
Sina time na katiba
But niite shatta cause me ndo best rapper
Niwe nikidunda one two kwenye mic kama ufa
Cause wote yeboyebo swag zangu ndo zalofa
Sikuhizi sana imekua kama royal rumble
Washika dai wana fava haina haja ku gamble
Nilianza kitambo wakanitenga kama mtoto wa kambo
But the good thing me ndo master kwenye jungle (yeah)

Show stopper show stopper niko fiti zaidi ya hao hao haoo
Hot stepper hot stepper mengine peleka kwao kwao kwaoo

Show stopper show stopper niko fiti zaidi ya hao hao haoo
Hot stepper hot stepper mengine peleka kwao kwao kwaoo

Walikataa kuni support wakati nikiwa down
Sasa wanashindana ati nani kamtoa whyne
You hate me but I'm ringtone of your phone
The role model for a brother now of your own
Me ndo pure gold
Wengine wote ni copper
That's na take over mombasa mpaka Yuropa
Niko proper naflow beat la mobiz tanda niolopa
Na heat zaidi ya whipper uliza hata zibaba
I'm swaggarifik niggers know about this
Naflow kichizi over lil wizzy
Nacheki wote yani wakiniona wote wana go down
As in mimi ndo king kwenye hi down town
Chopper money siko mwani uliza hata peter
That's why naspend every day yani navopita
The street nimekita kwa account nimejaza zaidi ya ma mita
Ah ah Kama huamini uuliza uhuru Kenyatta
Ma snitch wanasema ati me siwezi shine
Nikawacheki nikaona mambo yote fine
I wonder why the batches keep on Screaming my name

Or either hear my song the wanna play again (eh eh)

Show stopper show stopper niko fiti zaidi ya hao hao haoo
Hot stepper hot stepper mengine peleka kwao kwao kwaoo

Show stopper show stopper niko fiti zaidi ya hao hao haoo
Hot stepper hot stepper mengine peleka kwao kwao kwaoo

Hi Verse iende kwa masela mahaters na namafala leo nna wasio nahela leo nyumbani walioko jela
Weka na mimi niweke
Sema na mimi seme
Enua na mimi nifunike
Nipige ngumi nikupige teke aah
Hebu listen hommi huwezi niweka down
Madem wa waniita honey wamesahau mimi ndo whyne
Cause I'm the last man standing na wewe ulikua ndio fast man bending
Ndomana kila place
Madem wasupu asking every time whyne p where are you staying
Wengine wataka namba wazuri na wabomba wanono na wembamba



Credits
Writer(s): Abdalla Chidyanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link