Alivyo Mzuri

Chini Ya Maji (haha) Ngojea
Haha
(Alivyo Mzuri) BFM YOU KNOW
(Alivyo Mzuri) WE BACK WE BACK

Sieziamini Eeeh!

Nilimuomba Namba Ya Simu akanambia sina
Jinsi Ya Kum Approach Nikamuuliza Jina
Kwama Ringo Na Madaha Akanambia Tina
Japo Ngozi Nyeusi Asili Yake Yakichina
Mtoto Mzuri Alivo Umbika Yani Huezi Pima
Paka Watamani Uwe nae Yani Siku Mzima
Alomakinika Full Na Mambo Ya KiutuUzima
Ukiwa Nae Hutamani Nyota Yake Kuzima
Figa Namba Nane
Macho ndo Usiseme
Sauti na Tabia ah
Mpaka Niwe Nae
She is So Beautifull One of a kind
Hata Nikimkosa Najua Nitakua Mashakani
Basi songa Baby unipe, (kiss na hug)
Ukiwa Nami Kila Place tucheze,(temted to tach)
Maana Staki mwengine Ila ni wewe Mama
Mana Bila wee Najua Aah (Nitaaumia)
Basi Songa Baby Unipe. Me. (Kiss Na Hug)
Ukiwa Karibu Tucheze aah... (Temted to tach)
Maan Sitaki Mwengine Ila (wewe Mama)
Maana Najua Bila wewe Nita (Nitaumiaa)

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih) Aliyvo Mzuri
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)

Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih

Hua na act smart,sipend kuwa masaliti
And I got tell fact,nishampata huyu binti
Nimemueka kwa heart,kamwe siezi mhurt
I Know this so smart,let me call her sweetheart
Hata wenye roho ngumu,zaidi ya ile ya Osama
Pia nao wako humu,kwa mapenzi wanazama
Wanajua penzi ni tamu,wakilikosa linawauma
Wanataka la kudumu,ambalo halitazima
My shining star wewe ndio unanifaa
Sitaki mwengine mana ni wazi nitamkataa
U got everything that a cute girl must have
Ndio maana everyplace nataka niwe nawe mamaa

Basi songa Baby unipe,(kiss na hug)
Ukiwa Nami Kila Place tucheze,(temted to tach)
Maana Staki mwengine Ila ni (wewe Mama)
Mana Bila wee Najua Aah (Nitaaumia)
Basi Songa Baby Unipe. Me. (Kiss Na Hug)
Ukiwa Karibu Tucheze aah... (Temted to tach)
Maan Sitaki Mwengine Ila (wewe Mama)
Maana Najua Bila wewe (Nita Nitaumiaa)

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)

Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih
Nimeshakula Kiapo Sitokula Asali nikutupe Kando Mamma
Umeniziba macho nacheki kwa site wengine hawapo Mamma
Nakuhitaji uwe wangu Mpenzi ndo maana nakuimba kwenye hizi Tenzi mamaa
Ona Ninavyo Imba Kwa Hisia Kuonyesha ni Jinsi Gani Nimekuzimia Mammaa

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)
Hakianani Siezi amini Hakianani siwezi amini

Unavyo sparkle,siwezi waza mpango wa kando
Aiih, Alivyomzuri iih,(Alivyomzuri iih)

Hakiaanani Siezi amini iiih
Hakiaanani Siezi amini iiih
Bulet Music
Niwe Nae Naa Naa
Niwe Nae Naa Naa
Yoo BFM (Haha) Mzuri
WHYNE P (Mzuri)
Yeah
Niwe Nae Naa Naa
Hakianani Siwezi Amini (Niwe Nae Naa Naa)
CRAJ BABY Mzuri
Mzuri
Alivyo Mzuri



Credits
Writer(s): Siraj, Whyne Pascal
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link