Kipendacho Moyo

Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe
Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe

Nimewaipenda nikatendwa
Nikasema sitopenda tena
Ila kwako mimi nimeshindwa
Moyo wangu umekupenda sana
Naomba uniamini
Haya nayo kwambia
Usijenipiga chini iiih moyo ukaumia

Moyo umekupenda wewe
Ilo naomba unielewe
Nataka kua na wewe nahitajikua na weeh
Moyo umekupenda wewe ilo naomba unielewe
Nataka kua na wewe nahitajikua na weeh

Kuwa na weeeh
Kuwa na weeeh
Kuwa na weeeh
Nahitaji kuwa na weeeeh

Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe
Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe

Mapenzi ya kweli nahitaji iiih iih
Mfano samaki na Maji iih iih
Mapenzi ya kweli na hitaji iih iih
Mfano samaki na maji

(You Know This is)
Fast of all baby jua nakupenda
Pili kamwe sitokutenda
Tatu nimekueka akilini siku zote za kalenda
January to December
Usijali ma chance ntakupa ma
Mwengine ntakataa
Maana wendo wanifaa
Mtoto mzuri waitaji mapenzi ya kweli
Hapa kwangu umefika wachana na matapeli
(You know) Yeah

Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe
Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe

Sito kuahidi Gari ni mbali na uezo wangu
Ama wakuishi gorofani wakati sina hata kwangu
Ila mapenzi hata karoni ntakupa maana ndo wangu
Ulie mwangu akilini chaguo la moyo wangu
Nilopenda toka kwako uzuri wako na tabia
Sio asili yako ila ukarimu pia
Umekomaa kimawazo nkakutia zangu hisia
Ndo maana mi mfalme kwako na we ndo wangu malikia (You Know)

Moyo umekupenda wewe ilo naomba unielewe
Nataka kua na wewe nahitajikua na weh

(Kuwa na weeh) Kipendacho moyo ni dawa
(Kuwa na weeeh) Moyo wangu umekupenda wewe
(Kuwa na weeeh) Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe
Kipendacho moyo ni dawa
Moyo wangu umekupenda wewe
Kwayangu maradhi we ndo dawa
Dakitari wangu jua ni wewe

Shaa G along side Whyne P
Jungle Masters

Mkali wao Emy Dizo



Credits
Writer(s): Abdalla Chidyanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link