Baikoko
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Subaru au bima
Konyolo nitilie mama pima
Godoro nilalie nikizima
Mi ni uhuru siezi weka hazina
Omosh pewa loan toka china
Sitaki stress save number bila jina
Sakata na doba hii ni massacre
Weka tu kakitu nitakuja Hapa asapa
Mbuzi kwenye masafa
Twafanya vile inafaa
Ujue hii ni gengetone huezi leta sabotage
Siezi kula paka ukininyima nakula samosa
Venye umepaka usiniblame yako makosa
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Wakenya, before ushoot your shot washakulenga
Ni danger, ni banger
Cheki washakujenga
Wahenga whatever taja jina aliye nena
A kuku is in danger jogoo kidishi mentor
Henha, kama magix ntawaEnga
Calender sina time ganji kukujenga
Ni mejja mad tracks kuzimake njoo nikucounsel
Hustle ni mziki na bars ziko na muscle
OG connection hadi kwake nina 4G
Mbuzi ndo rende hadi yo fans naeza kugondi
Luku ni fresh usinifananishe soshi
Gondi bonga chafu nikuwai soki
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Subaru au bima
Konyolo nitilie mama pima
Godoro nilalie nikizima
Mi ni uhuru siezi weka hazina
Omosh pewa loan toka china
Sitaki stress save number bila jina
Sakata na doba hii ni massacre
Weka tu kakitu nitakuja Hapa asapa
Mbuzi kwenye masafa
Twafanya vile inafaa
Ujue hii ni gengetone huezi leta sabotage
Siezi kula paka ukininyima nakula samosa
Venye umepaka usiniblame yako makosa
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Wakenya, before ushoot your shot washakulenga
Ni danger, ni banger
Cheki washakujenga
Wahenga whatever taja jina aliye nena
A kuku is in danger jogoo kidishi mentor
Henha, kama magix ntawaEnga
Calender sina time ganji kukujenga
Ni mejja mad tracks kuzimake njoo nikucounsel
Hustle ni mziki na bars ziko na muscle
OG connection hadi kwake nina 4G
Mbuzi ndo rende hadi yo fans naeza kugondi
Luku ni fresh usinifananishe soshi
Gondi bonga chafu nikuwai soki
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Kaka warkaka anakata maji kata
Dawa meza tukunywe turudi sober
Tunywe tena na Tena tuzidi (vasha)
Tule Leo ya jana sidishi tena
Baikoko zama Hadi Koko
Igo Koko digolo lipopo
Hii inachoma na ngoma ni noma
Na kama imekoma likolo lipopo
Credits
Writer(s): Mike Makori, Joseph Nyamweya, Moses Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.