Tusere

London London London
Black Markets Records
(It's your favourite boy Kashkeed on the track)

Dem yako anadance well welcome sele
We ni wa kwanza kuniask chere
Sele meriet sele ka zimeriet
Kama unaingoja we ka steady
Si tusere sere sere tujimess
Tusere sere hadi ujiwaste
Kusere sere kutetemeka temeka
Menirogea tetemesha

Okay okay
Kuna venye unakuwa fine nikikunywa pombe
Mbona unanichanganya na haga zako
Ukiinama left right nipe zote
Hapa kwa giza mi bana silipi token

Niko bitter ju uninitorment
Hio figa hakuna nigga anaeza forget
Ju nakudai nikuite my dear
Alafu twende kwa bar nikubuyie beer
Mi niko fine unaweza kalia
Niko mbaya wewe tu unaweza nisaidia

MBUZI GANG- TUSERE FT ETHIC ENTERTAINMENT

Juzi ex wangu alikuwa my jaber
Nishamove on anashindwa why gathee
Nitume fare anashindwa we ni gede
Nikimwaga mtama si unajua atadona
Ka Tanasha simba wanaona gere
Nina geri safi na gari mi ni dere
Toyota cheki kila place niko mbele
Nikimwaga mtama si anajua atadona
Naswitch flow ubanju ukiwa disco
Ki missile utoke wadhani ni measles
Na Slim flow flex kama uko na muscles
Kazi safi huwezi twanga bila jasho

Dem yako anadance well welcome sele
We ni wa kwanza kuniask chere
Sele meriet sele ka zimeriet
Kama unaingoja we ka steady
Si tusere sere sere tujimess
Tusere sere hadi ujiwaste
Kusere sere kutetemeka temeka
Menirogea tetemesha

MBUZI GANG- TUSERE FT ETHIC ENTERTAINMENT

Uncle yako ameambia babako
Ati ye si uncle yako ye ni babako
Madem wanapigana juu yako
Sijai jua ni yako tingisha jo matako
Unaeza pata saloon jo ni vako
Na toto yako anakung'ora juu ya ganji
Manze unadai huu manzi ama utamkula
Utoke huu manzi
Brathe unadai huu manzi ama utamkula
Utoke huu manzi
Uncle yako ameambia babako
Ati ye si uncle yako ye ni babako

Mamorio tujikaze kama kun kakinde
Bazu ako na baby na bibi na anacheza nje
Ana ganji lakini anadai ya bure
Bro bro tubonge saa ingine
Si ungeleta ding'oing'o na ikuje na ding'oe
Leo nakula njiva njavati na ding'oe
Kabla stori sijatell buda si unimochoe
Ai ai buda nimochoe

Dem yako anadance well welcome sele
We ni wa kwanza kuniask chere
Sele meriet sele ka zimeriet
Kama unaingoja we ka steady
Si tusere sere sere tujimess
Tusere sere hadi ujiwaste
Kusere sere kutetemeka temeka
Menirogea tetemesha

MBUZI GANG- TUSERE FT ETHIC ENTERTAINMENT

Haya haya hayee
Pengting yaani shodo pita nayee
Haya haya hayee
Ka ni Slim naidim shikwa nare
Haya bas
Shika goti alafu chini ureverse
Haya bas
Nilipe fare na simwoni nareverse
Game nishaimarry kwa kitenge tenge
Nishakubomoa sa itabidi unijenge
Ilibidi nijitenge unifuate lembe
Mbuzi bado rende ata uingie kwa mchele

Mama we ni bad na sioni kawaglad
Uki lower your guard na bie nitawasun
Lipa town ndio unaburn na saa hiyo nishakuspoil
Na sio waste call halafu hutozika
Big up your dad kwa kujigas up
Na kusuka your mum
Mathako alioa mtamu
Hadi mi ningemdai ndio maana buda alidai
Kuwai samsam mathako alidai kucome
So hakuloose chance na bigup your mum
Kwa kutonyima your dad
Bigup your dad hio day haku
Hakuwatch, hakuwaste sperms

Dem yako anadance well welcome sele
We ni wa kwanza kuniask chere
Sele meriet sele ka zimeriet
Kama unaingoja we ka steady
Si tusere sere sere tujimess
Tusere sere hadi ujiwaste
Kusere sere kutetemeka temeka
Menirogea tetemesha



Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya, Peter Ochieng
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link