Shifla

Alikuja na uber karudi kalesa
Ndio alikuwa ananyesha
Karudi kalesa
Dry jokes na unanyesha
Unaleta ufala kwa hii bash utatekwa
Unadhani kidi yako refu inamezwa
Shifla piga ukatikie kwa meza

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha

So sad unanuka funny
Tukiwa kwa giza niite chali chali
Alafu agiza mfuko nina mali
Twende hadi nanyuki ukaniite honey
Chali chali mi nitailink na gali Fulani
Nadai niwapin nah ii flow my curly
Flow can shit flush
Phone and burning

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha

Niliamka na hangover
Nikatoa lock
Jana nilishahau pin ya mpesa nikablock
Jawa na mayai katikati hayana York
Mi na yule mbaddie
Kuparty tu sihati
Na kama kuna uradi
Ujue niko ndani
Luku ujue sikosi
Ndio maana time mi sipigi
Alikula copper ndio afufue upini

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha

Dry jokes na unacheka
Kuna nyoks huku
Hizo nyasi nilifyeka
Shawry alimess nikabaki nikicheza fifa
Shifla ali alizima time ifla
Hujadunga ngotha
Hadi naona umedunga nikla

I wanna get high manze nijaze fikra
Nilituma fare jana tings hajafika
Shifla mic nikishika ye huwikaa mmmh!

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha

Siku ya kwanza tukikatiana
Tulionana tukanokiana
Aty anaogopa wavulana
Ata mimi babe naogopanga wasichana
Na kwanza kananuka mariwana
Katoto katotiana
Aki haka kana manners
Shame on you ukona bad manners

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha

Kuvuta shisha zishalipuka
Kuvuta ngwai food nishaitisha
Ni kichwa ngumu nishaingiza

Na sura ngumu akabakishwa
Buyia dame mia, mi nakuibia
Hajakam kwangu but ninakaribia
Mi hukuwa mbuzi but ye huniita dear
Hajafall bado but sahi anasinzia

I wanna get high tukate shifla
Ita Makena ni saa natisha
Tukona mizinga tutawakatisha
Na ikiisha tutaitisha



Credits
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Tony Kinyanjui, Joseph Getugi Nyamweya, Boniface Mwangi, Peter Ochieng Otieno
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link