Rudi Nyumbani

Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo)
Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo)
Uuuh

Yeah siku ya kuzaliwa ni majaliwa
Unataka tei ama tumuoge maziwa
Achilia njiwa na tei utamwagiwa
Nina roho safi mienendo zangu pure

Sijifanye savage keki utatiwa
Dishi iko few so joe mkute fewer
Liwe liwalo mti joh huanga cure
Mida ya saa sita short analipulwa

Na niko gage niko zanagalewa
Leo ni bash yangu kila mtu pewa
Kila mtu keiyo mikono juu ya hewa
Ju ya track marathon mbuzi tumelewa

Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo)
Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo)
Uuuh
Kama huna maji mwagia, mwagia

Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia, mwagia, mwagia
Kwa roho aliteswa sana ye, kwanza leo nikazaliwa

Kwetu kuna kabaridi sana staki maji leo kumwagiwa
Luku white njiwa hadi tu kupatiwa
Msupa amekam, kwa bash tu kukatiwa
Ata ka hawanijui pale status nasifiwa

Mzinga iikikatika nkikupate zimeshika
Haya sa skiza skiza sikule food ka unajua utatapika
Sa sasa sa skiza usikuje bash ka kukurombosea na shida
Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo)
Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo)

Uuuuh
Kama huna maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia

Mwagia, mwagia, mwagia
Wote kwa hii party wazee tulizaliwa sindio
Okay mi natakla kuskia
Hehhe lets go

January, February, March April piga nduru manze, yeeeeh
May, June, July, August wapi nduru manze, heeeeh
September, October, November, December nduru manze heeeeh
Wapi nduru manze heee

Siwaskii wapi nduru manze heeeh
Kama huna maji mwagia, mwagia
Kama una pombe mwagia, mwagia
Kama una soda mwagia, mwagia
Mwagia, mwagia, mwagia

Alright then siku yako ya kuzaliwa
Kila mtu apate hio miwa
Tunaparty hadi kwa njia
Shika msupa wueh mwagia
One time, it's your birthday

Cheza na me gyal kwenye party
Tunarepresent 400 from Monday mpaka Sunday
Make up imewaka kadress kamefit
Figure namba nane ye physically fit

Wallet imebeba dollar na shillings
Kwenye neck tumepiga
Happy birthday wewe, wueh, tukate maji leo(tuakate maji leo)
Unywe mpaka ulewe, wueh, ni siku yako leo(ni siku yako leo)
Uuuuh

Credits
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya, Peter Ochieng
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link