City Dreams

Man
City dreams
Ah

Hizi streets zimetufanya tuwe beasts
Tangu tupo Kids hatuna love kwa police
Just me and my clique freestyling bila beats
Used to do some shits huku tunahubiri peace

Ah Night life City lights, Daily site, piga kazi
Nice rides, smelling nice, with my crew doing
Huwezi hata kuamini kama utapata chance
Pesa hakuna mjini hadi unakosa Pants

Got a couple goals it was fast bros
Kusaka dough nlijifunza kwa my idols
Nlianza kuball kabla hamjaanza kwenda viral
So mnamess with my crew nyie ni rivals

Wanyamwezi wenye ndoto toka Tanzania
Fast cars big Mansions with the Chandeliers
Daily tupo live wanachungulia
Walking on the Plan coz the vision clear

Owa Owa
Nlianza kuball kabla hamjaanza kwenda viral
Owa Owa
Daily tupo live wanachungulia
Owa Owa
So mnamess with my crew nyie ni rivals
Owa Owa

I see the future with my eyes closed
Naziona fursa zikifunguka kama Church doors
Napotoka pamechoka yani chafu pozi
Bado tunawaza kuhusu Benzi na sio Rav 4

It's a Big City dream nigga we gon get it
Nimezaliwa Sinza wanaita Sin city
Kila kona Bars the girls looking pretty
Ukizaliwa hapa una Degree mbili

Ah, tunajaribu kuacha Legacy
Saigon ameshanipa Torch now natema shit
Kibadeni kwenye Pitch natembea na Chaki
Ukijichanganya ndo unalizwa kilio cha Samaki

Huku mambo kwa Socks acha mahasara
Kifo hakina huruma Remmy Ongala
Wana wameshapinda full Cannabis
Nataka niwe bora so am killing this

Owa Owa
Nimezaliwa Sinza wanaita Sin City
Owa Owa
Ukizaliwa hapa una degree mbili
Owa Owa
Ukijichanganya ndo unalizwa kilio cha Samaki
Owa Owa



Credits
Writer(s): Reward Shayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link