Sioni
I say
Last night I had a dream about some big plans
Leo nimeamka like a big man
Straight to the Studio tukafanye Big Jam
A1 Vibes man it's a big thang
Wakati ni sasa
Tunaserereka kwenye beats flows zimepigwa msasa
We doing this for the culture
For the Hustlers
Wana wanaosupport Chatta
We aint gonna loose it
Hizi sio mbio za marathon man its all about the music
Hatutaki gossips bad news
Kama Watoto wa juzi
Hapa kazi tu we gonna prove it
Money is on mind usinzinguee
Wanangu tunaplan si tukue
Hatujatoka ushuani kaa ujue
Hata ukibana we gonna do it
Long time toka shule I had a dream
Now am seeing things
Sikuizi najiona kwenye Big screens
Mama yupo proud coz am doing big things
Gari imeshawaka and you never gonna stop it
Sioni mtu wa kustop it
24 7 tupo Happy
Hawapendi kuona tupo Safi
A1 A1 A1 kwenye Chati hey
Sioni mtu wa kustop it
Hawapendi kuona tupo Safi
A1 A1 A1 kwenye Chati hey
Pigo kwa traitors
The new trend setters
Hawaamini uwezo wetu inakua ngumu kueleweka
Wakati mnatoboo kwenye stage tukifreestyle
Tunawaza vipi tugeuze skills kuwa pesa
Kwenye Hustle twaenda deep so deep wala hatutanii
Huoni hadithi za kuswitch so sick coz tupo real
Accomplish missions kwenye risks kama Navy seals
Tunapata mileage huku streets wanatulipa fees
Vizuri hatukujuana wakadhani kuwa we faking
Tracks zetu zinawafanya waseme si ni underrated
We making major moves fans have been waiting
We dedicated waiting for the Payday
Wanasikiliza sounds wanabaki kuduwaa waa
Wakija kwenye rhymes wanaishia tu kujaa jaa
Wakirudi kwenye flows wanaprove tunafaa faa
Hata mkibana we gonna do it
Sioni mtu wa kustop it
24 7 tupo Happy
Hawapendi kuona tupo Safi
A1 A1 A1 kwenye Chati hey
Sioni mtu wa kustop it
Hawapendi kuona tupo Safi
A1 A1 A1 kwenye Chati hey
Aa e
Aa
Yeah it's now or never man yeah
You know what
Mpaka kufikia hapa ni ngumu sana kugive up man
No no no man
Yeah
See
Kila nikiangalia naona kama
Rappers wengi wanataka kuwa popular tu
What happens to purpose discipline impact
We out man

Credits
Writer(s): Reward Shayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.