Lost Son

Unaepuka drama ndo maana unabaki Loner
Unaadimika hadi kwa wana hadi wanashindwa kukusoma
Ni pesa na wasichana zinazosakwa kila kona
Mitaa haina huruma ukiwa weak huwezi pona

Mazingira sio Rafiki kuwa sober inakua kazi
Natenga vipi marafiki waloniingiza kwenye drugs
Wana wakikosa kazi huku wanauza hadi mavazi
Wana mizigo ya laana nyingi walozipata kwa wazazi

Muda naowaza mapenzi ni baada ya kulipwa changu
Mtaani wanaopata utelezi wale wana wenye mashavu
Napata vipi Watoto wakali wakati usoni sina nuru
Naonekana local dude sina time na kina Lulu

Tushazika wana wengi walotaka kuget rich quick
Waliona bora wafanye ushenzi man just to get some quick fix
Wazushi wanaishi fake life you know just to fit in
Bado naumiza Ndonga ntatokaje huku streets bishhhh

Yeaaaaah life is complicated
Kuna muda nipo stuck kwenye mawazo
Na bado sielewi nafikiria nini
Kuna mafumbo sio rahisi kutatua eeee
Na ni muhimu kama ulivyo mwamvuli kwenye mvua
I gotta be wise nahitaji Hekima
Yeaaah nahitaji wisdom

Nahitaji wisdom utulivu kabla sijawa super star
Nieze deal na maumivu ya umaarufu au kulala njaa
Nipate majibu nani fake nani ndo ananfaa
Nsiruhusu haters ku assassinate my character

Nasacrifice a lot kupambana na hizi shida
Maza anasema me nalost siwezi kuwa father figure
Unakuaje baba bora kama huprovide kila kinga
Majukumu yanakuzidi na huwezi piga vizinga

Nasahau kujipenda nipo obsessed na biashara
Naweza lala nkiwa sijala bila texts za miamala
No wonder pisikali wananiona kama fala
Nataka mzigo kama konde ndake pisi ka kajala

Men, On my way to be great oh ma man I cant wait
Daily flex paper chase no debates no delays
Nashukuru Mungu sio kilema wala snitch
Siwezi jali wanachosema coz am going to get rich

And as a matter of fact, I got me
And me got myself, so it's all me
Na sipaswi kujiona dhaifu hata niwe lonely
Kukaa tu nilipo won't change anything
And since I need everything that's better for me
I gotta move, nahitajika kupiga hatua
Na najua kwamba kila hatua dua
Kila hatua dua

Yeeeeeeeeeah



Credits
Writer(s): Reward Shayo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link