Outro
Huezi nidiss juu nimezoea kudisturb
Offer za Ng'ang'a zimefanya Siezi miss cab
On dis tuff huezi kuja ka hauna kadiss tough
Ulimi ka ya musa nikirusha hii stuff
Foot on their neck utadhani mguu ni scarf
My relatives wengi wamekuwa distant
Memories shattered dreams crippled huezi nistand
Mister false hope tunauza kwa kanisa
Juu listeners wanastruggle sana kwa maisha
Ni strategy same inaapply kwa politics
Quality ya speaker determined na tribe gani
Kwa rally wengi tumechoka na safari
Mahali msee anastruggle na mahari
Na dem amelipia anagawa kule mali
Bibi anaspread miguu ka product ya bb
Nyani after evolution alicheki kundule
Unashindwa enemy ni nani ni yule
Msee kando yako Anakushow tuende tule
Abnormality wasee wanamess na magenitals
Normalcy sikuezi wamechange hadi gender roles
Chali na thong stripper dancing on mini pole
Minerals six feet ukidig hio ni funeral
Mi na roll riz nabreeze smoke siginal
Kwa video after cut bado nilizidi yoh
Death flashing through my eyes nasema cheese
Smile for the camera devil Sema please
Reaching out for riches mi pia nataka piece
Mnataka kunistrip me like we on tease
Tangu nikuje jiji nimekua nikisaka keys
Kila mtu ako lips anadai kunipa kiss
But si kissmat How comes wanadiscuss
Diss curse me na tone zao huwanga vicious
Heavy bars nafanya flow itoke viscous
Diss moja na unadai nikupe discount
Na hii sound kwa stereo ikipiga rebound
Disgust food for thought juu nakupa dessert
Nadessert flow then naruka to the next one
Napaint picture inakaa unreal animation
Asian juu macho zimenyannya siezi mention
The reason as to why siogopi competition
Ukiget offended Umefanya shamrisho
Kwa sentence relax boy ni genge usiwaitense
Nakuwai lens ucheki mind yangu uwai sense
Telly ukinicheki ukiwa high na ni hisense
Mucus flow na mi hucurse kwa flow
Unapanguzwa juu unakaa mucous kwa floor
Papa chini ya maji na unacurse kwa boat
Bar ikiwa heavy unapass kwa goat
Unakaa salty juu sijapass alot
Fiesty feeling ya kuget salo
Then usearch Caro Ye akisearch kura iko kwa ballot
Kuscore goals music wanipe balon dor

Credits
Writer(s): Joseph Nyamweya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.