Tangazo!

Tumesimama hadharani
Kulitangaza jina la Yesu
Aliyekufa akafufuka
Ni mshindi katika yote
Tumesimama hadharani
Kulitangaza jina la Yesu
Aliyekufa akafufuka
Ni mshindi katika yote

Hata sisi tuwashindi
Tunashinda katika yeye
Atutiaye nguvu
Ndiye bwana wetu wa vita
Hata sisi tuwashindi
Tunashinda katika yeye
Atutiaye nguvu
Ndiye bwana wetu wa vita

Hakuna jina jingine
Tulilopewa chini ya jua
Litupasalo kuokolewa kwalo ni jina la Yesu
Hakuna jina jingine
Tulilopewa chini ya jua
Litupasalo kuokolewa kwalo ni jina la Yesu
Hakuna jina jingine
Tulilopewa chini ya jua
Litupasalo kuokolewa kwalo ni jina la Yesu
Hakuna jina jingine
Tulilopewa chini ya jua
Litupasalo kuokolewa kwalo ni jina la Yesu

Macho yangu yameona ukuu wa jina la Yesu
Macho yangu yameshuhudia matendo ya jina la Yesu
Macho yangu yameona uzuri wa jina la Yesu
Mi mwenzenu nimeona matendo ya jina la Yesu

Ukilitaja baba
Wagongwa wanapata afya
Ukilitaja mama oooh
Shetani anatetemeka
Ukitaja jina la Yesu
Vipofu wanaona
Ooooh Ukilitaja mama eeeh
Unakua salama

Akuita baba uje kwake
Njoo njooo njoooooo
Akuita baba uje kwake
Akuita kwa sauti ya huruma Yesu njoo
Akuita baba uje kwake

Eeeeeeh njoo kwa Yesu akusamehe dhambi zako
Njoo kwa Yesu akusamehe dhambi zako
Utasamehewa utasamehewa aaaaah
Utafanywa mtoto wake
Utasamehewa utasamehewa wewe
Utafanywa mtoto wake
Utasamehewa dhambi zako
Utafanywa mwana wake

Tumaini kwaya njoo tulisifu jina la Bwana
Cheza kidogo namna iyo taratibu taratibu
Sheki sheki sheki sheki aaaah
Mmmmh alikufa siku ya tatu akafufuka yeye
Alibeba mizigo ya dhambi akabeba huzuni zangu
Yuhai yuhai yuhai
Eeeeeh twende namna iyo namna iyo

Yesu Yesu Yesu wouwowooo
Yesu ni mwamba imara
Yesu Yesu Yesu weuweweee
Yesu ni mwamba imara
Yeye
Hatikisiki hatetereki
Eeeh ooh oooh
Yesu ni mwamba imara
Yeye Yesu
Hatikisiki hateteleki
Yesu ni mwamba imara

Yesu Yesu Yesu weuweweee
Yesu ni mwamba imara
Yesu simba wa yuda yeye
Yesu ni mwamba imara
Hatikisiki hatetereki
Yesu ni mwamba imara
Hatikisiki hatetereki
Yesu ni mwamba imara

Yesu ni mwamba imara Hatikisiki
Mmmmh
Yesu ni mwamba imara hatetereki
Hatetereki
Yesu ni mwamba imara
Sema yeeeeeh
Yeeeeeeeeh

Hivyo tunakwenda kwa Bwana
Cheza kwa Yesu cheza kama hautacheza tena
Mmmmmmh

Akuita baba uje kwake
Uje uje akupe uzima wa bure
Akuita baba uje kwake
Uje uje asamehe dhambi zako
Akuita baba uje kwake



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link