Burudani (Full Shangwe)

Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya
Jerusalem mpya ikishuka toka Mbinguni
Nami nikaona mji ulio mtakatifu
Jerusalem mpya ukishuka toka Mbinguni
Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya
Jerusalem mpya ikishuka toka Mbinguni
Nami nikaona mji ulio mtakatifu
Jerusalem mpya ukishuka toka Mbinguni

Humo hakuna kuugua wala mateso
Humo hakuna kuugua wala mateso
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma

Naye aketia katika kiti kile cha enzi
Alfa na omega wakwanza na wa mwisho
Akasema

Tazama nayafanya yote kuwa ni mapya
Kwa maana mbingu za kwanza
Na nchi za kwanza zote zimekwisha kupita
Tazama nayafanya yote kuwa ni mapya
Kwa maana mbingu za kwanza
Na nchi za kwanza zote zimekwisha kupita

Humo hakuna kuugua wala mateso
Humo hakuna kuugua wala mateso
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma
Vilio vyote na vifo vitakua vimekoma

Uuuuuuuuuuh
Aaaah
Eeeeeeeeeh
Ni burudani kwa walio shinda
Rahaaa
Burudiko la milele
Tukifika mbinguni
Ni burudani kwa walio shinda
Rahaaa Rahaaa
Burudiko la milele
Tukimwona Bwana yesu
Mmm Mmmh Uuuuuuh
Ni burudani kwa walio shinda
Burudiko la milele
Tukifika Mbinguni kule
Mmmmh Mmmh
Itakua ni full shangwe



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link