Anakuja

Anakuja mwokozi Yesu
Kuchukua wateule walipo Duniani
Anakuja mwokozi Yesu
Kuchukua wateule waliopo Duniani
Kila jicho litamuona anakuja na mawingu
Akishuka na mwaliko wa malaika zake
Kila jicho litamuona anakuja na mawingu
Akishuka na mwaliko wa malaika zake
Yesu

Kila jicho litamwona
Yesu
Akishuka na mwaliko
Yesu
Kuchukua kanisa lake
Yesu
Lililotakaswa kwa Damu yake
Yesu
Hata waliomkataa watamwona
Yesu
Akishuka na mwaliko
Yesu
Kuchukua wateule wake

Anakuja mwokozi Yesu
Ohohoooo
Kuchukua wateule walipo Duniani
Yesu anakuja
Anakuja mwokozi Yesu
Huyu Yesu
Kuchukua wateule waliopo Duniani
Tazama kila jicho
Kila jicho litamuona anakuja na mawingu
Yeyeeeyeee
Akishuka na mwaliko wa malaika zake
Tazama kila jicho
Kila jicho litamuona anakuja na mawingu
Yeyeeeyeee
Akishuka na mwaliko wa malaika zake
Yesu

Kama vile bibi harusi
Anavyojiandaa kwenda kwa mumewe
Kama vile bibi harusi
Anavyojiandaa kwenda kwa mumewe
Vivyo hivyo na kanisa imelipasa
Kujipambaa kwa utakatifu tabia na adili
Tabia na adili

Ndugu zangu tumepewa nafasi ya kujitayarisha
Ndugu zangu tumepewa muda wa kujitayarisha
Ndugu zangu tumepewa nafasi ya kujitayarisha
Ndugu zangu tumepewa muda wa kujitayarisha

Saa ya matengenezo
Muda wa kujitakasa
Saa ya mayengenezo
Muda wa kujitakasa
Ni sasa

Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako

Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako
Kaa chonjo Yesu anakuja
Kukulipa sawa na kazi yako



Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link