Tukio

Tukio la ajabu lililofanyika
Pale msalabani limenipa ushindi
Tukio la ajabu lililofanyika
Pale msalabani limenipa ushindi
Sitaogopa lolote kwa maana nipo na yeye
Walasiogopi chochote kwa maana nipo na yeye
Sitaogopa lolote kwa maana nipo na yeye
Walasiogopi chochote kwa maana nipo na yeye
Yesu

Maumivu
Maumivu na mateso yale
Bwana
Yalikua yanipate mimi
Kwa huruma zake
Yesu kanihurumia
Maumivu
Maumivu na mateso yale
Bwana
Yalikua yanipate mimi
Kwa huruma zake
Yesu kanihurumia

Alimaliza Yesu hati ya mashitaka kwangu kafuta
Alimaliza Yesu hati ya mashitaka kwangu kafuta
Sidaiwi tena sidaiwi tena sidaiwi tena
Deni langu limekwisha lipwa

Credits
Writer(s): Onesmo Mlawa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link