Merry Christmas
Mwaka umekwisha sweet baby
Tusonge mbele my baby
Nilipokosa unisamehe
Nilipoteleza unibebe
Nataka twende wote mwakani
Tembea ubavuni uwe nami
Uwepo wako hisia ulionishika moyoni
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushajikwaa christmas niko nawe love
Busu la uso au unataka la mdomoni?
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushanikwaa christmas niko nawe ma
Kirembe ki uso uvae lile zuri gauni
Baby
Merry Christmas and Happy new year
Mama
Merry Christmas and Happy new year
Baba
Merry Christmas and Happy new year
Friends and Family
Merry Christmas and Happy new year
Kaka
Merry Christmas and Happy new year
Dada
Merry Christmas and Happy new year
To the people who support me
Mwaka jana dagaa mwaka huu moto car
Kibatari mshumaa umeme nitaleta
Usijali mama huu mwaka napambana
And huuh my lover
Tusigombane my lover
Huu mwaka uwe salama
Mmmmmh
Yayayah
Nataka twende wote mwakani
Tembea ubavuni uwe nami
Uwepo wako hisia ilinishika moyoni
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushajikwaa christmas niko nawe love
Busu la uso au unataka la mdomoni?
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushanikwaa christmas niko nawe ma
Kirembe ki uso uvae lile zuri gauni
Baby
Merry Christmas and Happy new year
Mama
Merry Christmas and Happy new year
Baba
Merry Christmas and Happy new year
Friends and Family
Merry Christmas and Happy new year
Kaka
Merry Christmas and Happy new year
Dada
Merry Christmas and Happy new year
To the people who support me
Tusonge mbele my baby
Nilipokosa unisamehe
Nilipoteleza unibebe
Nataka twende wote mwakani
Tembea ubavuni uwe nami
Uwepo wako hisia ulionishika moyoni
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushajikwaa christmas niko nawe love
Busu la uso au unataka la mdomoni?
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushanikwaa christmas niko nawe ma
Kirembe ki uso uvae lile zuri gauni
Baby
Merry Christmas and Happy new year
Mama
Merry Christmas and Happy new year
Baba
Merry Christmas and Happy new year
Friends and Family
Merry Christmas and Happy new year
Kaka
Merry Christmas and Happy new year
Dada
Merry Christmas and Happy new year
To the people who support me
Mwaka jana dagaa mwaka huu moto car
Kibatari mshumaa umeme nitaleta
Usijali mama huu mwaka napambana
And huuh my lover
Tusigombane my lover
Huu mwaka uwe salama
Mmmmmh
Yayayah
Nataka twende wote mwakani
Tembea ubavuni uwe nami
Uwepo wako hisia ilinishika moyoni
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushajikwaa christmas niko nawe love
Busu la uso au unataka la mdomoni?
Mamamamamama
Baby your my sweetlove
Moyo ushanikwaa christmas niko nawe ma
Kirembe ki uso uvae lile zuri gauni
Baby
Merry Christmas and Happy new year
Mama
Merry Christmas and Happy new year
Baba
Merry Christmas and Happy new year
Friends and Family
Merry Christmas and Happy new year
Kaka
Merry Christmas and Happy new year
Dada
Merry Christmas and Happy new year
To the people who support me
Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.