Nakuuliza Shetani

Nakuuliza shetani umepata wapi mamlaka
Ya kukamata akili za watu ah! Wewe umeleta balaa
Umeingia makanisani Umekamata wababa
Wanabaka watoto wao Umekamata vijana
Umewatwika ulevi Bila kusahau kina mama
Vikao vya masengenyo Sasa nimechoka na mambo yako
Ewe shetani, nipishe nipite

Wewe ulimwasi Mungu, nipishe nipite
Uliwadanganya adamu na Eva, Songea nipite
Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako
WEwe ulimwasi mungu, nipishe nipite
Uliwadanganya Adamu na Eva, songea nipite
Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako
Wewe shetani unaambiwa, Mwenyeji wa kuzimu
Sasa nipishe nipite

Hebu nipishe nipite, ninachelewa njiani
Yesu yu karibu kurudi, kulichukua kanisa
Kanda unayo nionyesha yote yamepitwa na wakati
Huna ujanja

Kumbuka miaka elfu mbili iliyopita zamani Yesu
Aliposhuka kuzimu, akakunyang'anya funguo
Funguo za mamlaka Nasema nimechoshwa na mambo yako
Wewe shetani nipishe nipite

Wewe ulimwasi Mungu, Nipishe nipite
Uliwadanganya adamu na Eva, Songea nipite
Dunia nzima imeharibika, Kwa ujanja wako
WEwe ulimwasi mungu, nipishe nipite
Uliwadanganya Adamu na Eva, Songea nipite
Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako
Wewe shetani unaambiwa, Mwenyeji wa kuzimu
Sasa nipishe nipite

Nakuamuru Shetani wewe nipishe nipite
Wewe umekuwa ni kikwazo kwangu Kufika mbinguni
Muda wako umeshakwisha, Songea nipite
Sasa haleluya naenda mbinguni, Hatuna mashaka

Nakuamuru Shetani wewe Nipishe nipite
Wewe umekuwa ni kikwazo kwangu Kufika mbinguni
Muda wako umeshakwisha, Songea nipite
Sasa haleluya naenda mbinguni, hatuna mashaka

Wewe ulishaaniwa, laana milele Ulinyanganywa
Mamlaka na Yesu, Huna ujanja ee
Simba wa yuda aliponguruma, Mafuriko kuzimu
Sasa haleluya twaenda mbinguni, Hatuna mashaka

Wewe ulishaaniwa, laana milele Ulinyanganywa
Mamlaka na Yesu, Huna ujanja ee
Simba wa yuda aliponguruma, Mafuriko kuzimu

Wewe ulimwasi Mungu,
Nipishe nipite
Uliwadanganya adamu na Eva,
Songea nipite
Dunia nzima imeharibika,
Kwa ujanja wako

WEwe ulimwasi mungu,
Nipishe nipite
Uliwadanganya Adamu na Eva,
Songea nipite
Dunia nzima imeharibika, kwa ujanja wako
Wewe shetani unaambiwa, mwenyeji wa kuzimu
Sasa nipishe nipite"

Credits
Writer(s): Maureen Nkirote
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link